Gari T 500 BSB imeanguka bamaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari T 500 BSB imeanguka bamaga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dubu, Mar 31, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 419
  Trophy Points: 180
  ilikuwa ikielekea mjini huku imepakia magunia ya mkaa. sijajua chanzo ni nini lakini inasababisha foleni kwa magari yanayotoka mwenge kwenda mjini na yale yatokayo mjini. askali wa barabarani washafika na fisi wa mizoga washafika kuanza utaratibu wa kuinua sababu imeanguka barabarani usawa wa startimes.
   
Loading...