Mbagala rangi 3 kuna moto unawaka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbagala rangi 3 kuna moto unawaka.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tiger, Mar 31, 2012.

 1. T

  Tiger JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ni pale ilipokuwa milenium bar.
  Bado sijajua chanzo ila yale maduka ya karibu mengi yameungua.(muda huu)
   
 2. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,231
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  oooh polen sana jitahidi tupate picha mkuu!!
   
 3. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  uuuDuh
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Darlive imepona?
   
 5. T

  Tiger JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Aisee moto ni mkali kiasi kwamba ile miti ya uwani imewaka.
  Bahati mbaya kuna upepo.
  Mpaka sasa nimeona askari wa usalama barabarani tu.
  Nasikia chanzo ni hitirafu ya umeme.
   
 6. T

  Tiger JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Dar live itapona iko mbali.
   
 7. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ngoja nisogelee maneo maana niko karibu na maeneo haya, nitawajuza zaidi!!
   
 8. T

  Tiger JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nakuachia wewe mkuu, mi sina facilities za kutosha.
  Over!
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Duh, poleni sana. Zimamoto hawajafika?
   
 10. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,107
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Yale maeneo jioni panakua kama mtaa wa kongo,watu wanavyojaa sijui itakuwaje?
   
 11. T

  Tiger JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2007
  Messages: 1,750
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Inaonekana individuals hawako hatarini ila materials yes.
  Nimeondoka eneo la tukio ila ninahofu watu wa zima moto hawajafika.
   
 12. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  Poleni sana, endeleeni kuwatafuta hao jamaa (fire) huenda watajaaliwa kuja!
   
 13. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  nilifika eneo la tukio, kwa kweli baa ya Milenium imeungua yote, waduka ya jumla baadhi yameungua, maduka mengi ilikuwa ni patashika, wamevunja vitu vyao vingi ktk kuhamisha bidhaa zao!!! iliwa ni hasara ingawa maduka mengi hayakuungua. Kwa kweli sikuona Zimamoto labda waliingia ndani... lakn hakukuwa na dalili za zimamoto kuwa ktk eneo la tukio. Mpaka naondoka eneo la tukio watu kadhaa walikuwa juu ya mapaa wakijarubu kuridishia mabati ili wahifadhi baadhi ya bidhaa. Wizi pia ulikuwa mkubwa kutokana na wingi wa watu... si unajua tena Mbagala ni Mji mwingine ndani ya dar kama Vatican vile!!

  Chanzo inasemekena ni Hitilafu ya Umeme!! camera yangu ya sim haikuweza kupata picha nzuri

  Poleni sana waathirika, Mungu atawafungulia njia nyingine. Nikama gari limepata pancha, ziba pancha au vesha spare tyre safari iendelee!!! matukio kama haya kila mtu ni potential victim wa matukio yasiyo na furaha katk maisha yetu
   
 14. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  I hope wenye maduka walikuwa na Insurance make kwetu hatuna utamaduni wa kuweka bima bila kulazimishwa
   
Loading...