kuna ajali mbaya imetokea tengeru! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna ajali mbaya imetokea tengeru!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Mar 31, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuna costa limepata ajali maeneo ya tengeru.naendelea kufuatilia updates

  updates
  ajali imehusisha costa na fuso.
  Jumla ya majeruhi ni kumi na sita,kuna majeruhi wanne wamepelekwa hospitali ya mkoa.
  Bado hakuna taarifa za vifo.
   
 2. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,069
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  fanya halaka. Flora msoffe alienda huko.
   
 3. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  duh, acha utani wewe
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Kamanda! Fanya hivyo bila ya kuchoka tuko nyuma yako kujua yaliyojiri!

  Ila hakika MUNGU wetu yupo na ataepusha majanga mazito mengine!

  Tujuze Kamanda!

  Na majeruhi MUNGU akawape nguvu wapone mapema!
   
 5. buhange

  buhange JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 494
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Eeeeh! Mungu wasaidie wapiganaji wetu hawa wapata afadhari haraka iwezekanavyo!
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  majeruhi kadhaa wako hospitali ya wilaya ya meru.
   
Loading...