Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hakuna haja kupinda maneno ccm imetuangusha arumeru. Hasa wapiga kampeni wake. Waliacha mambo ya msingi wakaingilia matusi. Angalia pia pale kirumba mwanza jinsi waziri alivyokuwa akikata mauno...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimedadisi sana mwishowe nimegundua CCM ni sikio la kufa... Kamwe haliwezi sikia dawa. CCM ni sawa na Kobe kuanzia gamba lake mwendo wake wanafanania kwa kila kitu na kwa maana hii CCM ina gamba...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Salamu wanajf, wakati tukiendelea kufurahia ushindi tulioupata huko Arumeru, naomba tukumbushane viongozi na watu wengine wenye influence ktk jamii yetu ambao wamejikuta wakiondolewa nyadhifa...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Leo nimebahatika kuhudhuria kesi ya Nsanzugwanko dhidi mh. Zaituni Agripina buyogera mbunge wa kasulu vijijini.kumbuka leo mh. Zaituni ndipo alikuwa anatoa ushahidi wake dhidi ya tuhuma...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimeikuta hapa: https://www.facebook.com/photo.php?fbid=10150776598215873&set=a.10150542784850873.421091.521635872&type=1&theater M4C: Inamaanisha nini kwako?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Kuna kila dalili za aliyekuwa mgombea ubunge Arumeru-Mashariki kupitia CCM kuibukia Arusha mjini.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari nimeikuta kwenye gazeti la mwananchi la leo. Wakulima wa mpunga wa Bunda waliokuwa wakijitahidi kukabiliana na umasikini kwa kilimo cha mpunga ziliyeyuka kwani inadaiwa sumu kutoka kiwanda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anasema j'm0s watatoa tamko,ila anadai kes ni ya kubambikiza,na fununu walizopata ni kuwa walijua watashndwa,na maamuz hayakua ya haki,though wanaheshim MAHAKAMA DW RADIO
0 Reactions
15 Replies
2K Views
-Huku kwetu hatupewi mishahara minono... -Huku kwetu hatupewi 'incentives'.... -Huku kwetu neno "WITO" linatumika kama nyundo ya kututwanga... So wengi tunalichukia ... -Huku kwetu kazi...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
UPDATE MPYA :Audio ya BBC Swahili kipindi cha Dira ya Dunia walipohojiana na Godbless Lema na kupata maoni ya Wananchi wa Arusha UPDATEMPYA :Maoni ya Godbless Lema na Wananchi wa Arusha Mjini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mh. Jaji Upendo Msuya amefiwa na mwanaye William H. Msuya aliyekuwa nchini Malaysia. Jaji Upendo ndo anayesikiliza kesi ya kupinga ushindi wa John Mnyika uchaguzi wa ubunge jimbo la Ubungo. (Hawa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa gazeti lililojipatia sifa hapa nchini Tanzania Daima inaelekea halina sifa za watu makini hasa kwenye uhariri na uchambuzi wa habari. Mimi ni msomaji mzuri sana wa habari karibu zote na hata...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
TB Joshua prophesies Mugabe's death? By Wonai Masvingise and Thelma Chikwanha HARARE – Reports that Temitope Balogun Joshua, a Nigerian prophet using the name TB Joshua, has foretold the...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Jana nimesimuliwa kisa cha ajabu sana kutoka kwa jirani yangu, ambaye ni mama wa makamo wa kunizaaa hivi. Mama alikwenda kwenda kuchukua pesa kwenye ATM kwa ajili ya manunuzi ya sikukuu (kwa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwanamziki mkongwe wa Muziki nchini Senegal apatiwa uwaziri wa Utamaduni na Utalii nchini humo. Big up mzee.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya watu ambao nawaita washenzi, wanapenda kueneza chuki dhidi ya wachaga.Utasikia Wachaga wanapendeleana ktk kazi,ni mafisadi ndio maana ni matajiri.Wachaga wanajitambua cha kwanza na...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Au ni mpango wa Afande sele kuwania jimbo huko kwao morogoro kupitia CUF? Nawasilisha.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Taarifa ya kitabibu kuhusu kifo cha Mwanamuziki maarufu duniani Whitney Houston imetolewa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakaguzi wa hesabu wamebaini Ufisadi Mkubwa Hospitali ya Macho CCBRT ambapo imebainika kwamba mishahara ya wafanyakazi kutoka Hazina ,haijawahi kulipwa!! Pia Watendaji wakuu CCBRT walifanya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema <<VIDEO HIZI HAPA>>
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Back
Top Bottom