Sioi kuibukia Arusha Mjini

Sioi kuibukia Arusha Mjini

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
811
Kuna kila dalili za aliyekuwa mgombea ubunge Arumeru-Mashariki kupitia CCM kuibukia Arusha mjini.
 

Attachments

  • Sioi(1).jpg
    Sioi(1).jpg
    19.5 KB · Views: 111
Jamani hizi habari za kutunga za nini?
Unajua Gagurito unaheshimika sana!
Umezipata wapi habari, sisi tuko mtaani huku toka asubuhi hakuna kitu kama hicho!
 
Jamani hizi habari za kutunga za nini?
Unajua Gagurito unaheshimika sana!
Umezipata wapi habari, sisi tuko mtaani huku toka asubuhi hakuna kitu kama hicho!

Kilichotokea Arusha ni MKAKATI.
 
Aliyekataliwa Arumeru ni Sioi!
Atakubalikaje, wakati unajua wazi kwamba Arusha kuna substantial percentage of Wameru?

Mkuu anything can happen, si unajua Baba mkwe kesha tangaza kuwa yupo kwenye mapambano? just wait a little bit.
 
Kahindwa maji ya magoti, ataweza kuvuka ya Shingo?
 
Akitaka asipate hata robo ya kura alizopata arumeru aende Arusha mjini.
mtu kwao kakataliwa, na watu wa damu yake mwenyewe sembuse huko mbali ugenini?
 
Kama dogo ni mjanja achanganye na zake, Ar noma watapakimbia tu wee waacheni wasogee
 
Si vema kukariri kila kitu jifunze kupanua kichwa na kutafakari kabla haujaandika kitu ni ushauri tu
 
Jamnai inatosha mwacheni kijana wa watu apumzike, huenda hata huko Arumeru alishinikizwa tu!
 
Back
Top Bottom