Update mpya: Audio ya bbc swahili walipohojiana na godbless lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Update mpya: Audio ya bbc swahili walipohojiana na godbless lema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jozzb, Apr 5, 2012.

 1. j

  jozzb Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  UPDATE MPYA :Audio ya BBC Swahili kipindi cha Dira ya Dunia walipohojiana na Godbless Lema na kupata maoni ya Wananchi wa Arusha


  UPDATEMPYA :Maoni ya Godbless Lema na Wananchi wa Arusha Mjini baada ya kusikia habari za kuenguliwa Mbunge wao. Imerekodiwa kutoka CloudsFM radio, saa moja jioni.

  BOFYA HAPA << HATIMA YA LEMA-BBC>>

   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kulikuwepo haja ya kutaja clouds fm? umenikasilisha mpaka nimeshindwa kusikiliza lema alichosema bulll shitttt
   
 3. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh mbona waha wanawake wanalia sana ...yaani Arusha kuna watu wanachukua CCM kwa moyo wote namna hii..hatari
   
Loading...