Visasi vya mkuu wa kaya

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Salamu wanajf,
wakati tukiendelea kufurahia ushindi tulioupata huko Arumeru, naomba tukumbushane viongozi na watu wengine wenye influence ktk jamii yetu ambao wamejikuta wakiondolewa nyadhifa zao na wengine kuhujumiwa baada ya mkuu wa kaya kuingia mjengoni kutokana na tofauti walizokuwa nazo na mkuu wa kaya,
kwa kuanza Steven Masishanga kapigwa chini ukku wa mkoa,
waziri mkubwa enzi za fupi nyundo wamehujumiwa kampuni yao ya mabasi ya scandinavia ,hayapo,
endelea
 
aliyekuwa m/kiti ccm mkoa wa taboara saidi nkuba,alishapigwa chini papoja mzee mangula ukatibu taifa
 
Brother Miki, , Tambalizeni, Balhabuu, Mej. Gen Waitara.
 
Maj Gen Lupogo wa TCAIDS
Richard Mwaikenda mpiga picha wa Majira
 
Babu seya na liyumba kutokana na kumuingilia kwenye anga zake za mashori...
 
Je ungekuwa wewe ni yeye ungewezaje kufanya kazi na timu ya watu ambao hawakukubali? Na je ulitaka wawe kwenye hizo ajira hadi lini?maana ya kazi unafanya kwa kipindi fulani afu unaacha na wengine wanaokuja ama kutoka vyuoni ama sehemu nyigine ya kazi nao waonyeshe utendaji wao katika ofisi tofauti hata kama una mabaya yanayotendeka lakini hili ningeona tusilihesabie
 
Back
Top Bottom