Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanabodi, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA leo imetoa ufafanuzi kuhusu mfumo wa digital na kueleza kuwa huna haja ya kuwa na king'amuzi zaidi ya kimoja na wenye TV za migongo wasiwe na...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Kuna rafiki yangu mmoja kanipigia simu na kusema kuwa mgodi wa Geita umevamiwa na watu wanaoiba mawe yenye dhahabu maarufu kama magwangala, wamefunga baadhi ya barabara za ndani ya mgodi kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kumbukumbu zangu zasema kuwa shindano lile la Big Brother lakiuka maadili ya mtanzania baada ya shindano/mashindano kadhaa yaliyopita kuwa na kasoro fulani fulani... Au ndio mpaka baada ya miaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Najua this is not the right place but please,kama kuna mtu yeyote(arusha) ataona mtoto ndogo wa miaka 2 -3,wa kiume,mweupe.please please pm me.my friend amepoteza mtoto wake tokea saturday
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Hii Engineers Registration Board nao wamezidi njaa, Wamekua wakiwakata Trainee Engineers ambao wanachelewa kusubmit Quarter Report on time na kuwapa fedha nusu na hata wanapowasilisha Report Ile...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Januari anasema hapasw kulaumiwa kuhusu mwenendo wa kesi,anasema alipigiwa sim na Lema kuwa Arumeru watashnda, Januari akamwambia kuwa kwenye kesi yake(LEMA) hatatoka,so Januari anasema yeye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani nashukuru nmetoka kifungoni sasa nimerudi tujumuike pamoja ili tujenge taifa
0 Reactions
0 Replies
917 Views
IDADI kubwa ya wagonjwa waliokwenda kutafuta tiba kwa Mchungaji mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwaisapile, Loliondo wamepoteza maisha. Wizara ya Afya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Tue, Apr 3rd, 2012 Tanzania | Wed, April 4th 2012 The Isles Minister for Water, Energy, Lands, Construction and Human Settlements Mr Ali Juma Shamuhuna The Agakhan Foundation has stopped...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kipindi cha jahazi kipo hewani sasa hivi leo 04/04/2012, wamesema baadae Mh. L. Lusinde ataongea juu ya kutukana mitusi akiwa Arumeru.​ sijui atasema nini leo kujitetea maana ni aibu mlio...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakati akitoa salamu za shukrani kwa wapiga kura wake kule Leganga jana, Mbunge mteule alisema hivi, nanukuu kutoka gazeti Mwananchi toleo la leo(No 04298) uk wa 5. "....Walisema msinichague eti...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Njemba moja hiyo alikamatwa siku kadhaa zilizopita alikua ana kiwanda cha kutengeneza silaa za moto aina ya gobole ambazo baadhi alizotengeneza zilishatumika kwenye ujambazi sehemu kadha wa...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Nilipita majuzi kuchukua hela atm wapendwa wakati nikiwa kwenye folen nikakuta kaka mmoja anasubiri na yeye huku akihimiza watu jamani nimetoa hela jana nikaomba lakimbili zikatoka 160,000 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vyombo vya habari tz wekeni minara yenu rombo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza nianze kuwapongeza ndugu zetu wachaga kwa bidii ya kufanya maendeleo na hii ndio sera yao, kwa kweli wamejitahidi sana, ukiwa huna maendeleo kwa wachaga utachekwa sana! hivyo imepelekea...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Kila kukicha utasikia wamachinga wanakwaruzana na serikali kutokana na kufanyia biashara maeneo ambayo hayaruhusiwi. Hii inatokeaje wakati kuna watu wameajiriwa kwa ajili ya kazi hiyo? Kama wapo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
huyu mheshimiwa wa tarime ni mmoja kati ya watu wanao ua elimu hapa tanzania, haiwezakani asomee kiswahili halafu atunge hadi vitabu vya sayansi. Jamaa kwake hamna asicho weza na anaweza kuwa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu kama kuna mwanachama humu aliyealikwa kwenye kipindi cha malumbano ya hoja juu ya Tanzania kuingia kwenye mfumo wa digitali tafadhali naomba upitie hapa ili tukupe hoja muhimu utakazozitoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamphel Yeshi akikimbia mbele ya watu huku akiwa amejichoma moto, alifariki dunia baadae Wanaume wawili toka nchini Tibet wamejichoma moto kuupinga utawala wa China kwenye nchi hiyo, mmoja wao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hellow wakuu wote wa jf naomba nichukue muda huu kuwaaga kwa muda wanajf wote wa dar kwani nitakuwa songea kwetu kwa muda wa miezi kama 3 hivi.ila jf kama kawaida,mtaniagia kwa Invisible (Robot)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom