Bunda-wakulima walipwa wa fidia ya 25,000/= kwa heka tano zilizoharibiwa na sumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunda-wakulima walipwa wa fidia ya 25,000/= kwa heka tano zilizoharibiwa na sumu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matope, Apr 5, 2012.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Habari nimeikuta kwenye gazeti la mwananchi la leo.

  Wakulima wa mpunga wa Bunda waliokuwa wakijitahidi kukabiliana na umasikini kwa kilimo cha mpunga ziliyeyuka kwani inadaiwa sumu kutoka kiwanda cha Bunda oil Mill kuathiri zaidi ya ekari 64 za mpunga.

  Uharibifu huo umekuwa ukijirudia kila mara licha ya baraza la serikali la mazingira Nemc kutambua tatizo na wanaishia kularushwa tu huku wanabunda wakiangamia!

  Kichekesho kilikuja kwamba kila mkulia kulipwa fidia ya 25000 bila kujali ukubwa wa eneo,hivi serikali iko wapi??? Mnataka wananchi hawa waende wapi?wakalalamikie wapi?

  Kama uongozi wote una taarifa na mnakaa kimya maana aliulizwa mkurugenzi mtendaji wa kiwanda hicho Rajesh Savla kwamba kwa nn kafanya hvy akasema wakaulizwe watu wa mazingira tena kwa ukali imefika mahala ss tumechoka haiwezekani watu wakanyanyasika namna hii!
   
 2. m

  mbutalikasu Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halafu leo hii Wasira halioni hilo anakalia majungu ya Arumeru na huyu wasira hapa bunda sijaona alilolifanya licha ya kuendekeza ujinga tu, sasa fidia ya 25000 itawatosha kwa mwaka mzima, na hao NEMC nao wawe wazalendo yaani nchi hii mhindi kawa ndo bosi wa kila kitu pumbavu zao mie nakerwa na ujinga kama huo
   
Loading...