Jaji kesi ya mnyika (mb) afiwa mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jaji kesi ya mnyika (mb) afiwa mtoto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by isotope, Apr 5, 2012.

 1. i

  isotope JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2,404
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mh. Jaji Upendo Msuya amefiwa na mwanaye William H. Msuya aliyekuwa nchini Malaysia. Jaji Upendo ndo anayesikiliza kesi ya kupinga ushindi wa John Mnyika uchaguzi wa ubunge jimbo la Ubungo. (Hawa Ng'umbi Vs John Mnyika). Tumuombee asichanganyikiwe asijetoa hukumu ya ndiyo siyo! Source Michuzi!
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,798
  Trophy Points: 280
  Kuna haja ya kuanza kuwaadhibu hawa vibaraka wa ccm, wauone uchungu wao na familia zao.
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  tetesi za chini ya kapeti ni kuwa hata mnyika anatenguliwa matokeo yake! safari hii bora tuamue moja tu! kuingia msituni!
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,798
  Trophy Points: 280
  Shetani pia huchoka kusimamia uovu. Ushindi upo upande wetu.
   
Loading...