Julius Mtatiro amtoa jela afande sele!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Julius Mtatiro amtoa jela afande sele!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Apr 5, 2012.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Au ni mpango wa Afande sele kuwania jimbo huko kwao morogoro kupitia CUF?

  Nawasilisha.
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mbona hueleweki? umbe umbe tu
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sieleweki kivip? Kipi haujakielewa? Mtafute Dr Ndodi akupe dawa ya brain activator hili usiwe slow mo,sio kila kitu kirudiwe rudiwe mara mbili mbili coz yashaelezwa humu JF.
   
 4. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Sasa nimepata picha kwanini Mfalme Sele ametangaza nia 2015,Nilisikia sakata lake jana kupitia Clouds Fm lakini sikuelewa vizuri chanzo hasa ni nini kilichompelekea yeye na 20% kwenda bank ya NMB tawi la wami morogoro!!Hebu nipe details kidogo mkubwa King Kong III
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,829
  Trophy Points: 280
  :bange:
   
 6. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  hata mi sijakuelewa, heading na habar yenyewe tofauti. Elezea japo kidogo, kisa nini, amemwekea dhamana kama nani na ni wapi...
   
 7. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  umbe umbea hakuna la maana hapa ww ulitakaje?
   
 8. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Haueleweki Bwana acha ubishi, we unategemea watu wote wanasoma kila post humu ndani, kilichokufanya ushindwe kuelezea issue ya polisi kwa ufupi kisha uende kwenye hoja yako ni nini?
   
 9. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Afande alisema atagombea 2015 ubunge lakini hakutaja chama,ila nadhani cuf.source kipindi cha super mix eac radio
   
 10. Ishina

  Ishina Senior Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huyu jamaa alieanzisha hii thread, haeleweki na akiambiwa anakuwa mbishi na povu linamtoka! Hueleweki mtu wangu. Tueleze kwa ufupi afande alifanya nini mpaka katupwa Jera?! baada ya hapo unaweza ukatoa conclusion kuwa Mtatiro kamtoa Jela afande, hapo thread yako ndo itakuwa na mashiko. Hapo kidogo wote tutaweza kuichangia habari hii. Unaandika utafikiri wote tunajua kinachoendelea?!
   
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Muambieni asithubu kutembea na nyota ya SUGU ataangukia pua,
   
 12. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Habari kama hii ambayo haieleweki peleka fb!
   
 13. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kama anagombea kupitia cuf atachemka 2. Cuf haina mvuto bara, hata pro Lipumba akigombea kule kwao hawezi kushinda! Njoo m4c kuna uhakika lakini huko mh!!!.
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,364
  Trophy Points: 280
  Ulichofanya ni Kupost habari yako robo kwenye heaading, robo kwenye main topic, huku uki-assume nusu iliyobakia kila mtu anaijua!!
   
 15. A

  Apeche Alolo Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afande alikuwa ameenda ATM benk, lkn akawa amepark gar sehem isoruhusiwa kwa hiyo gar likawa limekamatwa, yeye akamind akaanzisha pira, wakamkamata, mtatiro akaingilia kat na kumtolea dhamana
   
 16. N

  Nabihu JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  kama kwel unavosema hakuna baya hapo.
  Inaonekana mtoa thread anachuki binafsi kwa afande
   
 17. A

  Apeche Alolo Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivyo ndo ilivyokuwa, sasa wa2 wanachukulia km n mbinu ya CUF kumvuta afande kwenye chama kwa sabab afande ameonesha nia ya kugombea ubunge wa morogoro 2015
   
 18. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kwani huyu afande Sele ana renki gani? Na ni jeshi gani? Au Luteni? Mi mgeni hapa!
   
Loading...