"NAACHA UDAKTARI!!! Naenda kuomba ajira Tanesco..."

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
-Huku kwetu hatupewi mishahara minono...

-Huku kwetu hatupewi 'incentives'....

-Huku kwetu neno "WITO" linatumika kama nyundo ya kututwanga... So wengi tunalichukia ...

-Huku kwetu kazi nyingi ni za kuhatarisha usalama na uhai wetu wenyewe

Naomba kuwasilisha...
 
kwanini umechagua Tanesco
 
kwanini umechagua Tanesco

Tanesco ni kinyume cha hayo yote hapo juu..

Madereva tu wana ma-incentives kibao... Mara mabati,mara saruji,mara baada ya miaka mitano,unagawiwa hiki mara kile.. Vitu kibao Vivi..!

Katika taasisi za umma.. None like Tanesco!
 
Ukifika TANESCO na kugundua ndivyo sivyo utataka kwenda kufanya kazi IKULU au BOT kwa vigezo vyako hafifu.Jiwekee malengo binafsi kama kufungua biashara zako baadae
 
Wenye ndugu,jamaa na marafiki wenye ajira Tanesco,wanajua ninachoongea hapa..

Hata hivyo,asante kwa ushauri..
 
Acha mapema maana kadri unavyochelewa utapata msongo wa mawazi usiombe ukawa daktari tena kwenye hospitali zilizo chini ya manispaa madiwani wanakata kata vitu bila kujua umuhimu wake ukiorder gauze wao wanasema 'punguza haya matambara wanataka ya nini kila siku'
 
Naona we wayajua yote...

Wengineo,need I say more to that comment above..
 
Tanesco ni kinyume cha hayo yote hapo juu..

Madereva tu wana ma-incentives kibao... Mara mabati,mara saruji,mara baada ya miaka mitano,unagawiwa hiki mara kile.. Vitu kibao Vivi..!

Katika taasisi za umma.. None like Tanesco!

mbona wengi wanaishi kwenye nyumba za kupanga, ni walevi, wavuta bange na wenye matusi kibao midomoni mwao kwa sababu ya frustrations?
 
Lakini si kwa sababu ya ajira zao...

Hao watakuwa na matatizo mengine kama kuzaa na akina mama tofauti,na kuzaa watoto wengi.. Yaani vitu kama hivyo..
 
Tanesco ni kinyume cha hayo yote hapo juu..

Madereva tu wana ma-incentives kibao... Mara mabati,mara saruji,mara baada ya miaka mitano,unagawiwa hiki mara kile.. Vitu kibao Vivi..!

Katika taasisi za umma.. None like Tanesco!

Ndo maana utendaji wao pia ni mzuri hee!!
 
Ukifika TANESCO na kugundua ndivyo sivyo utataka kwenda kufanya kazi IKULU au BOT kwa vigezo vyako hafifu.Jiwekee malengo binafsi kama kufungua biashara zako baadae

We unadhani biashara ni wote wanaweza kuimudu pia na hiyo capital imekusanywa ikakusanyika na huu mfumuko wa bei!
 
Mkuu hii comment yako imenichekesha sana, kama ndio hivyo basi safari bado tunayo, na 'marudi' hayawezi kwisha

Back
Top Bottom