tatizo si kujivua Gamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tatizo si kujivua Gamba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Loy MX, Apr 6, 2012.

 1. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nimedadisi sana mwishowe nimegundua CCM ni sikio la kufa... Kamwe haliwezi sikia dawa. CCM ni sawa na Kobe kuanzia gamba lake mwendo wake wanafanania kwa kila kitu na kwa maana hii CCM ina gamba la kobe hawawezi kulivua mpaka kifo na pakatokea wakajivua ujue na kifo hapohapo. Pili staili ya kumchinja kobe huyu inahitaji timing nashukuru CHADEMA wamempatia na sasa wanamchinja kwelikweli. Wana Jf tuendelee kumchambua KOBE huyu
   
Loading...