Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

"Hata kama itaandikwa kwa WINO wa DHAHABU katiba mpya isiposimamia ukweli Haifai"Ijumaa Kuu. Mhashamu Askofu mkuu Mtega jimbo la songea
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Leo asubuhi mazungumzo yanayo gonga vichwa vya habari katika kona mbalimbali za jiji la arusha,vijana wengi wanapendekeza chadema imwombe mke wa Godless lema agombee.wanajamvi mnasemaje kuhusu hilo?.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sasa hivi kuna kikao kinaendelea hapa H/Shauri ya Meru cha Madiwani wa sisiem. Kinaitwa 'Kikao cha chama' ambacho hufanyika kabla ya Full Council. Cha ajabu ni kwamba hulipwa Posho ya 'kukaa'...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
nashangaa jf fonts imebadilika na kuwa tofauti sana na mwanzoni'wakuu naomba msibadilishe hii ni safi sana nimeipenda!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu mitaa ya a town nasikia huyu bwana na wenzake wawili waliomshtaki lema wanatafutwa na machali awaeleze kwanini wamemsababishia mbunge wao aangushwe! . Sorce, mimi.
0 Reactions
35 Replies
4K Views
mbunge wa mtera livingstone lusinde amefanikiwa kujitengenezea msamiati mpya kama ilivyokuwa kwa meya masaburi alivyotengeneza msamiati kwa jina lake la masaburi as makalio watu kuyaita makalio...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu hali zenu vipi. Kuna breaking newz ingawa nimechelewa kuwaletea ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wizara ya afya Blandina Nyoni amefiwa na mama yake mzazi. Nawasilisha wakuu. Sijui kifo cha...
2 Reactions
72 Replies
9K Views
Hawa wafuasi wa magamba walishauriwa vibaya kisa chenji chache kutoka huko juu, wakaingia kichwa kichwa,mabwana zao wakamwaga hela wakashinda.sasa wao wanarudi kwenye nyumba zao za vibatari...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naona ndo kibamba anaongea
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dr lwaitama akiongea kwenye Sibuka Tv,muda huu amesema kama angepewa nafasi ya kumshauri Rais Mstaafu Bwm,kwa udogo wake angemshauri BWM asijihusishe na Siasa ndogo ndogo labda angejihusisha na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya kusoma jamaa anajivunia jimbo linaloongozwa na Upinzani, nimeona nije na watu wanaotoka majibu yanayotia aibu na karaha. Kama na wewe ni kama mie, hebu tujiorodhehe hapa Majimbo ya kutia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hii ni baada ya waandishi wake kurusha live mchakato wa upigaji kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru mashariki. Watu waarusha walionekana katika vikundi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna biashara imeanza ya kuuza viwanja ovyo ati vilikuwa vinamilikiwa na ccm swala hili limekua aibu hadi kwenye uchaguzi wa eac mmoja wa wagombea inamgarimu kwa kuuza kiwanja akiwa umoja wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwezi mmoja uliopita wananchi wakiongozwa na wazee wa Dar walikusanyka na kumpongeza mheshimiwa baba mwenye mji, JMK, kwa kusitisha harakati za madokta kuibadilisha wizara ya afya. Wiki hii kamati...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ufaransa imetupilia mbali tangazo la kujitangazia uhuru la waasi wa kabila la Tuareg nchini Mali ambao wameanzisha taifa lao wenyewe katika eneo kubwa sana kaskazini mwa nchi hiyo. Waziri wa...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
ili ukufike ujumbe nakuomba fatilia mpaka mwisho wa hi clips http://www.youtube.com/watch?v=3S0JSs83FRw&feature=related
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mch Antony Lusekelo a.k.a Mzee Wa Upako , ameshindwa ku -comment matokeo ya Uchaguzi arumeru kutokana na mkwe wa Rafiki yake kushindwa Vibaya katika Uchaguzi Arumeru!! Kwa nyakati tofauti Mzee wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Huwa natembelea mara nyingi ktk ukurasa wa Dr.Slaa ktk mtandao wa kijamii wa twitter, leo(samahani niko via mobile hivyo siwezi kuleta LINK) amekuja na ujumbe huu. "Maendeleo hayaletwi kwa...
10 Reactions
77 Replies
9K Views
Wakubwa mtanisamehe kama ntakosea, lakini katika pitapita yangu kwenye mitandao, nimekutana na comment ambayo kiukweli sijaipenda na sijui muhusika alimaanisha nini? Jamaa aliwaaga watu wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wenye data mtujuze kuna tatizo gani leo kuna foleni ya ajabu tangu kibaha leo arusha sijui tutalaala njiani!!
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom