Wanaoendekeza chuki dhidi ya Wachaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaoendekeza chuki dhidi ya Wachaga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pilitoni, Apr 4, 2012.

 1. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Kuna baadhi ya watu ambao nawaita washenzi, wanapenda kueneza chuki dhidi ya wachaga.Utasikia Wachaga wanapendeleana ktk kazi,ni mafisadi ndio maana ni matajiri.Wachaga wanajitambua cha kwanza na ni hardworking wasiokata tamaa,pia ni strategical ndio maana wanafanikiwa kwa haraka.Pia Wachaga wamekwenda shule kiukwel siyo utani.Wengine igeni mfano kwa Wachaga mtafanikiwa na siyo kuendekeza chuki.
   
 2. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 1,185
  Trophy Points: 280
  kweli baba angu!!
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,564
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  kumbe ndio mlivyo...aisee, na matusi pia...

  unanikumbusha utotoni kama mtu hataki a.k.a yake basi hilo jina la utani linakuwa maarufu zaidi kuliko mwanzo

  kama unasema hao watu ni washenzi na WANAPENDA kueneza chuki....can this post of yours will stop them not to paint these issues
   
 4. P

  Pilitoni JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  U're among of those foxes,exactly!
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Yesu na Maria... nini tena jombiiiii?
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,073
  Likes Received: 10,430
  Trophy Points: 280
  Meku unajua unapoteza muda na hao watu ambao hawati kusaka shilingi kazi yao ni majungu kha!
   
 7. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  tuache kabila unless kama una evidence kwanini umeandika haya na sio kwa hisia
  nenywa wari/kitochi bwana
   
 8. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  bwashee sisi tunasonga mbele. Achana na vyasaka
   
 9. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Mh! Sijaelewa, wewe ni mchaga wa wapi? Rombo ni wauza duka, kibosho wazee wa visu, kishimundu nadhani inaeleweka, marangu ndo pale maeneo ya kujidai! Na kule kwetu machame ndo balaa yesuuu! Yani nyie wachaga dhambi ya ubaguzi mlishaibeba kwenye hii taifa, sijui evidence gani unahitaji. Mambo ya hela hebu sahau, kila mtu ana hela siku hizi wewe mchaga sijui umeacha mke kwenu!
   
 10. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngasakanya ngasakanya heleli kyalema, ngendra moshi na madende, ngapamia mgomba buff! ngastuka, ngenda kilap kinyo mbeke ngamkuo ulalu , ngamkumbuo massawe, mushi, kilewo, mlay, lema......... yewomiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 11. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wachaga ndin Kabila celebrity bongo!ukiwa celeb lazima unakuwa na maadui.Hata wayahudi hapo middle east na dunia nzima wanachukiwa angalia wakiletewa fyoko wanavyotoa kichapo,wachaga ni majembe sana ,sasa wengine wanatamani wanaposhindwa wanaproduce chuki,chaga they will never be loser till the end of this wo...
   
 12. M

  Makupa JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mod futa huu uchafu unaharibu jf
   
 13. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  You are very right, BUT: Kweli wamesoma , hard working etc... wanashika nafasi nyingi serikalini, kwa mtaji huo wanawapendelea wachaga wenzao katika ajira exp- TRA over 90% ni wachaga is this not a hard fact. Just a simple research using eyes only, nenda mahali ambapo boss ni mchaga, hesabu idadi ya wachaga, simple. Nenda walipo wahaya, wanyakyusa, alipokuwa Luhanjo, Blandina Nyoni angalia idadi ya watu toka makabila hayo!!!
   
 14. M

  Makupa JF-Expert Member

  #14
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu haya makabila matatu ndio yenye shule za ukweli pamoja na wenzetu wa musoma
   
 15. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ni kweli kabisa.
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  mmmmm!
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wachaga wenyewe kwa wenyewe wanachukiana, Mmarangu atamdharau, Mrombo, Mmachame atamdharau Mkibosho sasa kama nyie wenyewe mnachukiana huko nje itakuaje? Tengenezeni upendu kwenu kwanza na huko nje utaenea.....
   
 18. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #18
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Igeni WAHAYA hakuta kuwa na chuki.......
   
 19. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #19
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  achanao mkuu ni wivu 2 unawasumbua..
   
 20. M

  Makupa JF-Expert Member

  #20
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Wachagga unaimanisha wavunjo sio, kwa maana hao wengine sio wachagga
   
Loading...