Youssou N'Dour apewa uwaziri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Youssou N'Dour apewa uwaziri

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jmnamba, Apr 5, 2012.

 1. j

  jmnamba Senior Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwanamziki mkongwe wa Muziki nchini Senegal apatiwa uwaziri wa Utamaduni na Utalii nchini humo. Big up mzee.
   
 2. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Alimpigania sana Sall wakati wa uchaguzi, kwa kupitia umaarufu wake...
  Nampenda sana Youssou N'dour but sijui kama anastahili.
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hongera zake,jamaa amesadia sana sekta ya elimu.
   
 4. doup

  doup JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  kama anaweza, mwacheni aongoze hiyo wizara, Au katiba bado itamzuia !!!? aaaah wadeeeee
   
 5. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Hongera zake, napenda sana wanamuziki conscious sio hawa pimbi wanaowaza kimagamba na wauza sura!!
   
Loading...