Jicho magazetini star tv leo asb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jicho magazetini star tv leo asb

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nsaji Mpoki, Apr 6, 2012.

 1. N

  Nsaji Mpoki JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2007
  Messages: 396
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hakuna haja kupinda maneno ccm imetuangusha arumeru. Hasa wapiga kampeni wake. Waliacha mambo ya msingi wakaingilia matusi. Angalia pia pale kirumba mwanza jinsi waziri alivyokuwa akikata mauno hadharani. Total comedians kama asemavyo rioba. Wakaingilia hata maisha binafsi ya familia ya mwalimu. Kimsingi hata mkama mwenyewe ukimsikia ni kama anachochea matusi tu. Iko kazi 2015
   
 2. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  vita vy panzi hivyo furaha ya .........
   
 3. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,951
  Likes Received: 1,275
  Trophy Points: 280
  hueleweki
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndiyo magazeti yanasema hivyo au ndiyo wewe?
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hakuna chama kinaitwa CCM, bali ni genge la wezi wa mali ya umma. CCM ilikufa pale Mwalimu alipozikwa butiama
   
 6. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaaaaah
  hii mambo mengine bhana!!.
   
Loading...