Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi introduction ya mwanamke inakamilika mpaka utaje wewe ni Mke wa fulani? Just asking!
2 Reactions
62 Replies
9K Views
mfanyabiashara mmoja wa biashara ndogondogo eneo la ubungo riverside amegongwa na gari baada ya mapigano kati ya polisi na wafanyabiashara wa eneo hilo na yasemekana kafarik,na mtoto mdogo kapigwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi people! Just requesting the name of ARV (Antiretroviral drugs) inventor. Any one with right information please help me right now.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
fungulia channel ten sasa hivi.kipindi cha hamza kipo hewani..mada ni tamasha la nne la kitaaluma la mwl nyerere....Dr.Mutembei anasema viongozi wa ngazi ya juu wa serikali wanaogopa kuja UDSM...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa waajiri wangu walinipa kibarua na kufanya kazi peke yangu hadi nikafikiria kuomba msaada kutoka kwa mabosi wangu watafute namna ya kuongeza wafanyakazi ili pindi ninapochoka au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siasa ni mchezo ambao kila mtu anaupenda hasa wale wakereketwa wa siasa hata mimi pia nimkereketwa wa siasa lakini kunajamba ambalo nimeliona katika siasa ya Tanzania kwa hili lazima niwe wazi...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Hii inaonyesha,jinsi gani wanaweza ndio maana wanakabidhiwa ridhaa kubwa na wananchi kuiongoza nchi.Hii inatufundisha watanzania kuwa,'LETS BELEAVE ON CHANGES ALWAYS'!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutokana na kusakamwa sana kwa kitendo chake cha kupolomosha matusi. "Tatizo naogopa kuwapa mzigo watanzania kwa uchaguzi mdogo" lusinde.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
habari zenu wana jf wenzangu? Well ninatakiwa kutoa speech yenye kichwa cha habari "TUTARUDISHA VIPI IMANI YA WANANCHI KWA CCM?" so kama mwana ccm mwenzangu mwenye mapenzi mema na chama chetu plz...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Wtz wenzangu nimekuwa nikijaribu kutafakari, kwa nini nchi yetu haisongi mbele kama ambavyo ingetakiwa kutokana na Mwenyezi Mungu alivyotujalia Utajiri Mwingi Nchi hii. baadhi ya matatizo yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya CDM kuwawezesha vijana wengi wanaweza sana kuanza kuwatengeneza hawa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana nilikuwa nafuatilia kipindi cha michezo cha clouds FM ambao walikuwa wanatoa updates za mechi ya Simba na ENTENTE! Nilisikitishwa na namna watangazaji walivyokuwa wanashangilia Simba...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakati Chadema kupitia Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa Gazeti la Tanzania Daima, wanalia njaa ya kukosa...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Natoa pendekezo kwa TUME YA TAIFA YA UCHAGUZ(NEC) kwambani jambo la busara kurekodi picha za video,picha hzo zitasaidia sana kuweza kupata ushahidi pindi linapoibuka suala la kukata rufani kwa...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Kumekuwa na mchakato huu wa TCRA kutaka kusitisha matumizi ya mfumo wa 'kawaida' tunaotumia sasa kwenda mfumo wa digital. Japo kuna faida kitaalamu lakini ni wazi kuwa wananchi na wasambaza...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Christopher Maregesi, Bunda MWENENDO wa uchaguzi wa viongozi ngazi za shina unaoendelea ndani ya CCM wilayani hapa, unadaiwa kuingia dosari baada ya baadhi ya wanachama wa chama hicho kususia...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Ndugu wana JF Watanzania kwa ujumla tumekuwa na kasumba kubwa sana kwa kuwadharau na kuwaona wale wajengao nyumba zao kwa kutumia TOFARI za kuchoma eti ni masikini,na ili uheshimike na kudhaminiwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
LET US CHANGE OUR LIVES THROUGH VOTE! HOW?JUST LISTEN........................... Wadau wenzangu kwanza kabisa naomba mnipokee humu jamvini,ni mgeni tena bi dada,hoe mmenipokea kwa moyo mkunjufu...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
Habari zenu wana JF. Poleni kwa msiba mzito uliotukumba. Mimi ni mfuatiliaji wa blogs mbalimbali. Shida yangu ni kwamba kila nikitembelea blog naishia kusoma post na comments za watu. Nikijaribu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii picha ilinisikitisha sana, nimeipiga Juzi tu katika hilo eneo la Makuti (Zimbabwe) ni umbali wa Km 63 kutoka Chirundu border post (Border ya Zambia na Zimbabwe) Katika hicho kibao Mlima...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom