umaarufu wa SUNRISE RADIO wapanda chat arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

umaarufu wa SUNRISE RADIO wapanda chat arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Apr 6, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hii ni baada ya waandishi wake kurusha live mchakato wa upigaji kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mdogo wa jimbo la arumeru mashariki.
  Watu waarusha walionekana katika vikundi wakisikiliza radio hii na pia walituma sms nyingi kuipongeza.

  TBC igeni mfano huu!
   
 2. u

  uwemba1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 755
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 60
  ukifanya jema utathaminiwa daima iko hivyo watu tunataka ukweli hata kama unauma
   
 3. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mwenyewe ni nani anaweza kuwa ni Nape?.
   
 4. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  We ni mfanyakazi wa Sunrise radio unataka kutuletea promo hali tunajua kuwa hamlipwi ujira wowote bali mnatangazia sifa tu, na vi elfu kumi mnavyowarubuni madiwani ili muwasifu hewani.
  mmiliki wenu Mary Nagu ni gamba kama wengine.
  humu ni jukwaa la wenye akili na hicho kiredio ni saizi ya clouds. peleka huu upuuzi kijiweni kwa mabongo fleva.
   
Loading...