Mzee Wa Upako Ameshindwa kutoa comment Uchaguzi Arumeru!!!!!!!!!!1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Wa Upako Ameshindwa kutoa comment Uchaguzi Arumeru!!!!!!!!!!1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KING COBRA, Apr 5, 2012.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mch Antony Lusekelo a.k.a Mzee Wa Upako , ameshindwa ku -comment matokeo ya Uchaguzi arumeru kutokana na mkwe wa Rafiki yake kushindwa Vibaya katika Uchaguzi Arumeru!!
  Kwa nyakati tofauti Mzee wa Upako amekuwa akimufagilia Lowassa na kumulaumu Rais Kikwete ambaye alikuwa rafiki yake wa mwanzo kabla ya dhana ya kujivua gamba.

  Mzee wa Upako haamini katika kujivua gamba na katika uchaguzi wa Igunga alishabikia sana na kuponda ccm ambapo hata Lowassa alishangilia.

  Leo hii uchaguzi umefanyika Arumeru Mzee Wa Upako anasema No comment akimaanisha haoni mabadiliko yoyote katika mwamko wa mapinduzi na ushindi wa CHADEMA.
   
 2. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 512
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Mzee wa upako ni nani hata awe na thread nyingi zinazomzungumzia?
  Yeye anamsaada gani katika Jamii hii? Je yeye si mtu wa kawaida kama walivyo watu wengine.
  Watu wengine ni kuwapotezea, kama hatuoni msaada wao kwenye jamii.
   
 3. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  mwaka 2010 alikuwa kampeni maneja wa jk, na leo anatumiwa na lowassa kwenye sakata la kujivua gamba, alishatumia zaidi ya tshs 30m kwenye kikao cha wachungaji pecop hotel dsm na kutoa seatinga allowance ya tshs 50,000/ kila mchungaji!!

  Hawa wachungaji hawana nguvu lakini wakati wa kampeni kama arumeru yameonekana mengi
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kweli sidhani hata kama ccm wanamtumia kama atakuwa na impact yoyote ktk jamii maana waumini wake anaowaubiria siasa kanisani ni wa hapa dar tu na siyo wote bali ni wachache sana ambao hawakaribii hata theluthi ya population ya Tz
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mungu na siasja wapi na wapi? Tena siasa zenyewe anatetea upande kandamizi?
   
 6. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa simpendi hata kidogo, ni mwizi, alinitibua zaidi aliposema madaktari waliogoma wana pepo na alisema hatibiwi muhimbili ataenda south, ngoja apate ajali tuone kama atafika huko south na severe bleeding, ovyoooooooooooo!
   
 7. serio

  serio JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  who is this nigga jamani? kwani lazima a comment?
   
 8. okaoni

  okaoni JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 1,197
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Mbeya is almost the same as nigeria.most of false bishops,pastors,prophet and apostles performing doubtful miracles and prophecies in every corner of dar es salaam and other place of the country are originally from either mbeya or iringa
   
 9. K

  KAMANDA HANGA Senior Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanini unampa sifa na cheo cha uchungaji tapeli yule? Huo uchungaji kausomea chuo gani gamba yule? Tapeli mkubwa wa sadaka yule. Kanisa anaendesha yeye na mkewe. Kazi kwelikweli.
   
Loading...