Hatimaye Lusinde atengeneza msamiati mpya kwa kutumia jina lake mtaani

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
mbunge wa mtera livingstone lusinde amefanikiwa kujitengenezea msamiati mpya
kama ilivyokuwa kwa meya masaburi alivyotengeneza msamiati kwa jina lake la masaburi as makalio
watu kuyaita makalio masaburi
same kwa cameroon alivyojitengenezea msamiati kuwa mashoga wanaitwa camerooon watu kufanya mapenzi ya jinsia moja yakawa yanaitwa cameroon

sasa huyu ndugu lusinde yeye katengeneza msamiati wa neno matusi
sasa hivi watu hawasemi nitakutukana wanasema nitakulusinde

kanitukana - kanilusinde
nitakupa tusi- nitakupa lusinde

nawasilisha
 
KAAAZI KWELI KWELI
ILA JAMAA NATHANI ALISHAWAHI KUKAA MIREMBE!!
mwenye background yake plse atupe
:hat::hat::hat::hat::hat:
 
Kwa uwezo wake huu ndio mchango wake katika kujenga taifa.Kuongeza misamiati ya mitaani!!!.The guy could make it to LMFAO.
 
Huyu dogo anahitaji maombezi, na CV yake hii hapa, wataalam wa psychology waichambue na waone kama tuendelee kumlaumu au tumsamehe tu.

Source: Parliament of Tanzania
 

Attachments

  • CV_Livingstone Lusinde_Bunge Website.pdf
    208.4 KB · Views: 155
Alivyoongea kwa mara ya kwanza bungeni alitoa mfano kuwa "lori lao la kijiji lilizaa kagari kadogo mark 2. Kuna bibi alichungulia chini, akaona pipe ya kutolea mosho, eti yule bibi akatangaziia kijiji kuwa eti, lori limezaa mtoto wa kiume" .

Pale cc tunaofikiti, tulimwelewa vuzuri sana lusinde. Aliyempeleka arumeru, na wote waliomkubali, pamoja na katibu mkuu wa CCM aliyemsifu baada ya uchaguzi, Ni muhimu sana ktk mchakato wa kuiozesha CCM.
 
Anajilinda kwa mdomo kwa kuwa anajijua kuwa hana kitu kichwani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom