Nasikitika kutoka jimbo linaloongozwa na CCM.

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,062
Baada ya kusoma jamaa anajivunia jimbo linaloongozwa na Upinzani, nimeona nije na watu wanaotoka majibu yanayotia aibu na karaha. Kama na wewe ni kama mie, hebu tujiorodhehe hapa Majimbo ya kutia aibu.

Yes, natoka Sikonge, jimbo lilaloongozwa na CCM kwa miaka 50. Mbunge wetu ni Said Nkumba aka Hitler.

695bab71-39a8-4274-9fcb-3c1074443dd0.jpg
 
Halafu anaonekana anaroho mbaya sana ,POLENI TABORA KUNA UHUSIANO WA UJANJA WA WAKAZI NA MTU ANAYEWAONGOZA
 
haaaaaaaaahhaaaaaaa

samahani nimeishia kucheka, ila kilichonichekesha nadhani ushakijua, nitarudi........
 
Baada ya kusoma jamaa anajivunia jimbo linaloongozwa na Upinzani, nimeona nije na watu wanaotoka majibu yanayotia aibu na karaha. Kama na wewe ni kama mie, hebu tujiorodhehe hapa Majimbo ya kutia aibu.

Yes, natoka Sikonge, jimbo lilaloongozwa na CCM kwa miaka 50. Mbunge wetu ni Said Nkumba aka Hitler.

695bab71-39a8-4274-9fcb-3c1074443dd0.jpg
Nimesha print picha hii nitaitumia kumtishia mtoto wangu....
jipangeni mwaka 2014-2015 muingoe CCM....
 
saidi mkumba AKA mwananchi wa kawaida hana makuu kabisa si fisadi na hana majigambo ni mpenda watu anayejali maslahi ya umma kuliko ya binafsi safi sana
 
Khaaaaaaaaaaaaaaa!
Hili DUDU gani jamani???????????
Mi leo naota!
 
Back
Top Bottom