jihadhari kununua viwanja vya ccm tunapoelekea tutavirudisha vyote chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jihadhari kununua viwanja vya ccm tunapoelekea tutavirudisha vyote chadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Apr 6, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,109
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Kuna biashara imeanza ya kuuza viwanja ovyo ati vilikuwa vinamilikiwa na ccm
  swala hili limekua aibu hadi kwenye uchaguzi wa eac mmoja wa wagombea inamgarimu
  kwa kuuza kiwanja akiwa umoja wa wazazi..

  Sipendi nieongelee zaidi ikiwa kama ndugu wa karibu jihadhari na viwanja vya sisiemu tunapoelekea chadema tukikamata nchi naamini tutaanza kukamata mali zote za ccm walizouza kihuni
  achana na kudanganywa na wahuni wa ccm kula chako mapema ukaishiwa kuliwa baadae
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Na nyumba za mawaziri je?
   
Loading...