tangu saa 12 tumeondoka dar ndo tuko mlandizi foleni ya kufa mtu

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Jamani wenye data mtujuze kuna tatizo gani leo kuna foleni ya ajabu tangu kibaha leo arusha sijui tutalaala njiani!!
 
Pole sana,nimejaribu kudadisi sijapata kitu. Hiyo ni foleni ya kwenda tu au na upande wa pili ndio hivyo hivyo? Namsubiri mtoto wangu anarudi leo nimeambiwa wamepita Mombo saa hizi.....sijui hiyo gari inapaa!
 
Mnang'ang'ania Dar kuna nini cha ziada?..wenye akili zetu tulishastukia hilo mapema tukachanganya na zetu!...huh!
 
pole sana labda kuna msafara wa kurudisha kura zilizoshindikana kuingizwa arumeru.
 
Mnang'ang'ania Dar kuna nini cha ziada?..wenye akili zetu tulishastukia hilo mapema tukachanganya na zetu!...huh!

We mbwiga kweli kwani kila anayetoka dar anaishi huko dar ndo kilakitu we utakuwa CDM tu unapinga kila kitu!
 
Jamani wenye data mtujuze kuna tatizo gani leo kuna foleni ya ajabu tangu kibaha leo arusha sijui tutalaala njiani!!
Wenzio akina Nape huwa wanakula flight to Arusha hawajui kuwa kama kuna foleni wewe mtetezi wao unaozea kwenye foleni. Kwa CCM foleni na vumbi ni haki yako Mtanzania

Angalia huyo demu nyuma yako kapeleka mkono kwenye saburi...
 
Back
Top Bottom