Musa mkanga wanted | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Musa mkanga wanted

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kirode, Apr 6, 2012.

 1. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Katika pitapita zangu mitaa ya a town nasikia huyu bwana na wenzake wawili waliomshtaki lema wanatafutwa na machali awaeleze kwanini wamemsababishia mbunge wao aangushwe! . Sorce, mimi.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ninavyoijua arusha inabidi huyu jamaa apewe ulinzi wa ziada.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni hilo tu kuna kitu wanataka kumfanya?
   
 4. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  huyo musa jamaa wamepanga kumpigia yowe la mwizi ili adundwe kweli kweli kisha achomwe
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Msiwatafute waacheni waendelee na shuguli zao kwani walitumia haki zao za kikatiba, hata kama wamelipwa kwa hiyo kazi. Nyie jipangeni waambie machalii wajiandikishe kwa wingi tume itakapoboresha daftari la wapiga kura ila wamuaibishe shetani sisiemu ndani ya sanduku la kura. Itakuwa vipi kama Lema akipata kura laki moja uchaguzi wa marudio???
   
 6. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama CDM wana sera hiyo, ila kwa Tabia ya CCM wanaweza kuwamwagia tindikali ili kuwatumia kisiasa.
  CDM saa hivi wanaimba wimbo huu kwa ajili ya uchaguzi mpya.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kama ana akili ahame Arusha.
  Watamtenda tu.
   
 8. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  wakaulize mahakama sio walioshitaki!
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  amewadhulumu watu 56000+ haki yao.
  Amesababisha hasara ya kodi za wananchi kwa kusababisha uchaguzi wa marudio
  Anarudisha nyuma harakati za kupambana na ufisadi nchini.
  Anaweza kusababisha watoto wa maskini zaidi ya 1000 kukosa ada za shule.

  Nakubaliana na wanaarusha wanaotaka kumuadabisha!
   
 10. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,633
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280
  Aaa, Hatuna haja na magamba. sisi tuna Mungu wao wanapesa. Hukumu anaachiwa atoe Mungu Mwenyewe
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu hii move inaweza isiwe ya wanachadema bali ni move ya umma unaoteswa na ufisadi!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. kijenge

  kijenge Senior Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Huyu huyu mussa mkanga ndiye aliyemshtaki makongoro nyerere akamvua ubunge kwa tiketi ya Nccra mageuzi.kazoe inatakiwa afanyiwe kweli yeye na familiya yake.lema alikuwa anasomesha watoto zaidi ya 200 yatima.haijawahi tokea kwa mbunge yoyote wamagamba.mkanga yeye akiwa diwani aliuza viwanja vya wazi vyote vya manispa arusha,mwenye gari,mwenye toyo yeyote akimuona amgonge.
   
 13. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Atakua na wakati mgumu sana kwa kweli!
   
 14. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wanamtaka bila condom
   
 15. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hiyo nayo ni njia mojawapi ya kuonesha kuwa umma una nguvu kubwa ajabu. Lakini ki ukweli hii ni adhabu mbaya sana kama kila atakaye kutana naye atampigia mayowe ya mwizi. Hii ni adhabu mbaya nadhani kuliko zote maana atakuwa amekataliw na kila mtu anaye kutana naye. Msishangae mkasikia kajiYuda Isikariote.
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280

  Hawa machalii hawaaminiki manake juzi waliniambia kuwa mwaka 2010 walitaka kumchenjia Lema baada ya kuhisi kuwa amevutwa chemba akubali kushindwa! Kuna chalii aliapa kwamba wangemgawana iama angechukua ule mlungula na kukubali kushindwa!
   
 17. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Nina IMANI ya kwmb kama hapati ulinzi wa kutosha hakika yake ngumu hapa A town.

  Atajuta kujua mambo ya siasa!
   
 18. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Magamba wakisikia hili wanaweza kumfanyia halafu wakasingizia Lema
   
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Huyu ni wa kuchoma moto mpaka afe!
   
 20. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,959
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  msimudhuru, jipangeni mumuaibishe kwenye sanduku la kura
   
Loading...