Ni sawa Malipo haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni sawa Malipo haya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nyamandu, Apr 7, 2012.

 1. n

  nyamandu Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa hivi kuna kikao kinaendelea hapa H/Shauri ya Meru cha Madiwani wa sisiem. Kinaitwa 'Kikao cha chama' ambacho hufanyika kabla ya Full Council. Cha ajabu ni kwamba hulipwa Posho ya 'kukaa' kikao cha chama. Malipo ya posho hizo hulipwa na H/shauri (haipo kwenye bajeti). Je! haya ni matumizi sahihi ya fedha za walipakodi?
   
 2. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...
   
Loading...