SIBUKA TV-Dr lwaitama amshauri mkapa kutojihusisha.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIBUKA TV-Dr lwaitama amshauri mkapa kutojihusisha....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Apr 6, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Dr lwaitama akiongea kwenye Sibuka Tv,muda huu amesema kama angepewa nafasi ya kumshauri Rais Mstaafu Bwm,kwa udogo wake angemshauri BWM asijihusishe na Siasa ndogo ndogo labda angejihusisha na uchaguzi wa kiti cha Urais.
   
 2. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja maana vijana bwana kauli zao hazina pazia watamshushia hadhi mweshimiwa!
   
 3. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  mbona hata SABODO alisema jana alimshangaa Nkapakujihusisha na small elections
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  mkapa keshaisha kisiasa bureeee
   
 5. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ni kweli, ina mana jamaa kwa heshima yake alikuwa amekosa kazi ya kufanya!!!!
   
 6. M

  Mpanzi JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 767
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mkapa natarajiwa kuja Shinyanga kwa ajili ya uchaguzi wa vitongoji!!
   
 7. M

  Msavila JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 404
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Aende kwenye siasa za nje anakopenda. Aliapa kutoshiriki local alipostaafu!!
   
 8. H

  HisiaZAkweli Member

  #8
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiona mtu aliyethubutu kupiga dili akiwa ikulu anafanya kazi ya siasa ndogo kama za uchaguzi wa vijimbo jua njaa imepiga hodi....
   
 9. oba

  oba JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hana njaa huyu ila ana vitu anataka kuvificha kupitia kwa viongozi aliowaweka mwenyewe, hao watamvika ka nguo wajameni!
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Hivi hii SIBUKA Tiii Vee ni ya nani???
   
 11. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 931
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 180
  Mkapa hata siasa za urais hatakiwi kujihusisha. Tunakosea sana tunapowaacha marais wastaafu kufanya siasa za vyama. Kimsingi, hata kama ili mtu awe sharti atokee chama fulani, lakini sanctity ya urais inabeba dhamana zaidi ya chama. Kwa hiyo, ni bora anapostaafu asijihusishe na masuala ya vyama ili kulinda heshima ya urais.

  CCM wanapingana na dhana hii, lakini wakumbuke kuwa kuna wakati rais mstaafu wa chama chao anaweza kujihusisha na siasa za kupingana na rais aliye ikulu, kama Kambarage alivyoonekana kufanya akazua tafrani. Utamu wa kumtumia Mkapa unalingana na uchungu wa Mkapa kuamua kupingana na chama chake. Ili kuokoa heshima ya wote, chama na Mkapa mwenyewe ni bora akae pembeni.
   
 12. K

  Kasweetie New Member

  #12
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nnavosikia fununi ni ya EL
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni ushauri mzuri kwa Mkapa kuufanyia kazi, Arumeru imemuabisha sana.
   
 14. D

  Darlington sheby Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkapa alikuwa enzi zake sio sasa
   
 15. j

  juniorfeb18 Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  shibuda!!
   
 16. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #16
  Apr 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  hivi mradi wake wa clinton foundation umefia wapi au kahamishia lushoto?
   
 17. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  MKAPA KAPATA AIBU SANA......kwani alitumika kulinyanyua kundi gani???
   
 18. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #18
  Apr 7, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,590
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  amejiharibia sana!!
   
Loading...