Mama yake mzazi Blandina Nyoni afariki dunia

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Wakuu hali zenu vipi.
Kuna breaking newz ingawa nimechelewa kuwaletea ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wizara ya afya Blandina Nyoni amefiwa na mama yake mzazi. Nawasilisha wakuu. Sijui kifo cha mama yake kimesababishwa na "pressure" ya mwanae kusimamishwa kazi au ni maradhi ya kawaida.
 
Nimesikia matangazo ya vifo Radio One!
Ni kweli Bibi huyo ametangulia..

Ni huyo bibi wa kwanza kushoto, anaitwa Ester Nyimbo Badi!!
RIP BIBI.

3.JPG
 
R.I.P bibi,pakajimmy huyo bibi anaundugu na nyimbo aliyekua mbunge?kama anaundugu by default blandina nyoni anakua ndugu yake coz nyimbo alishawahi kuwa usalama wa taifa,katibu kiongozi mstaafu mheshimiwa Luhanjo anatokea sehem hizohizo kwa kina nyimbo,mwenyekiti mstaaafu wa ccm Mangula anatokea hukohuko,spika wa bunge naye ni ukanda huohuo hapa napata picha ss kwa nn bi blandina nyoni ni kauzu zaidi ya dagaa kumbe anamikono kibao ya kumkinga otherwise PakaJimmy ukanushe hawana undugu
 
Wala kifo chake hakiwezi kusababishwa na mazali ya Blandina kazini, hawakuwa close. Ana roho mbaya huyu mama wadogo zake na mama yake wala hawasaidii!
Pole zao, walifanya kwa sehemu lakini maradhi ya uzeeni yalishamuingia.
Wakuu hali zenu vipi.
Kuna breaking newz ingawa nimechelewa kuwaletea ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wizara ya afya Blandina Nyoni amefiwa na mama yake mzazi. Nawasilisha wakuu. Sijui kifo cha mama yake kimesababishwa na "pressure" ya mwanae kusimamishwa kazi au ni maradhi ya kawaida.
 
Wala kifo chake hakiwezi kusababishwa na mazali ya Blandina kazini, hawakuwa close. Ana roho mbaya huyu mama wadogo zake na mama yake wala hawasaidii!
Pole zao, walifanya kwa sehemu lakini maradhi ya uzeeni yalishamuingia.

ndio sababu cz alikata mirija baada kibarua kuota mbawa!!rip
 
Marehemu alikuwa amelazwa katika Hospital ya Aga Khan.Msiba uko nyumbani kwa Mdogo wake Moroco Ursino estate nyumba no.4 mkabala na Jengo la Airtel.

Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Iringa kwa mazishi kesho saa nane Mchana.Ibada ya kuaga mwili wa marehemu itafanyika Azania Lutheran Church kuanzia saa 4 asubuhi.
 
Wakuu hali zenu vipi.
Kuna breaking newz ingawa nimechelewa kuwaletea ni kwamba aliyekuwa katibu mkuu wizara ya afya Blandina Nyoni amefiwa na mama yake mzazi. Nawasilisha wakuu. Sijui kifo cha mama yake kimesababishwa na "pressure" ya mwanae kusimamishwa kazi au ni maradhi ya kawaida.

RIP mama na pole sana dada yetu blandina kwa msiba mzito
Mkuu hapo kwenye red umekwenda mbali sana ingawaje inaweza kuwa kweli au siku zake alizopangiwa na Mungu zimefika ukomo.

Naweza kusema Dada yangu Blandina mwaka huu umeanza naye vibaya kwa kupatwa na mikasa miwili mikubwa na mibaya. Mungu atakutia nguvu
 
Bila shaka wale Madaktari Specialists ambao wanafanya Agkhan kama part time wamefanya special mgomo maana dharau alizowafanyia wale madaktari wakati wa mgomo ilikuwa ni dharau ya kimungu mtu. RIP Bibi Ester Nyimbo. "Inguluvi yahuwumbile, Inguluvi yihunyamwe. Tulumbage ilitawa lyahwe. Amina"
 
Back
Top Bottom