Nani kafanyia taifa makubwa kati ya awa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kafanyia taifa makubwa kati ya awa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ta Kamugisha, Apr 10, 2012.

 1. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Dr remmy Ongara, Kanumba na Tx William Moshi? kwa upande wangu Dr remmy na Tx Moshi wamefanya makubwa kuliko Kanumba na wangefanyiwa kama Kanumba, maana sijaona cha ajabu alichofanya kuwazidi hawa jamaa! Serikali ina upendeleo! sijafuraishwa na ubaguzi wa Serikali. Remmy na Tx wametunga nyimbo nyingi za kufundisha na kuelimisha jamii ambazo zinasikilizwa na kila rika mpaka sasa, Je Kanumba kafanya nini mpaka Serikali kugharamia msiba wake na tena rais kuhairisha safari yake kisa Kanumba! kweli kuna mantiki? Tv zinashindwa kuonyesha matukio muhimu ya kitaifa na ya kujenga nchi, chakushangaza hata TBC wanakatisha bunge wanatuletea mazishi ya KANUMBA! kweli tanzania ni zaidi uijuavyo! Sipendi ifike atua niichukie Serikali. Ebu badilikeni jamani na fanyeni vitu vya Msingi, Watoto wanakaa chini, hospital hazina madawa, wafanyakazi wanalipwa mishahara midogo, umeme tabu hata kulipa IPTL ni shida then mnatumia Kodi za wananchi kuendeshea msiba wa KANUMBA! Au Serikali imelogwa? Bila marehem MZEE KIPARA nani angemjua KANUMBA. Mbona mzee kipara tena mwanzilishi wa maigizo hakufanyiwa hivyo?
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hili ngoja waje wapenda bongo muvi watakujibu..
   
 3. Karikenye

  Karikenye JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Cheza na freemasonry wewe! Tanzania in zaidi ya uijuavvo!
   
 4. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  serikali imeniboa mpaka basi! au ndo mambo ya freemasons at work?
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kanumba
   
 6. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  lipi alilofanya? kumbaka under 18? hacha ufinyu wa mawazo
   
 7. Gobegobe

  Gobegobe JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 245
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kila fani ina kinara wake na anayechukuliwa kama shujaa, ukitaka kuitendea haki hoja yako mlinganishe marehemu na waigizaji walotangulia mbele ya haki. Kumlinganisha na wasanii wa fani nyingine mizani inagoma. Achilia mbali mapungufu ya kibidamu the guy deserve the name "the great" kwa tz. Nani zaidi yake?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,104
  Trophy Points: 280
  Kanumba kafa na kidhibiti, kabinti under 18,
   
 9. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  kuna waanzilishi wa hii sana na hawajazikwa ivyo! mzee jongo?
   
 10. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  kwaiyo serikali inaharalisha? kwann wamfanyie ivyo vyote wakati kafa na kidhibiti? hapo ndo nama serikali n poyoyo! inaonyesha au inafundisha nn jamii? mheshimiwa na mama salma c ndo wanawatetea watoto wa shule? sasa wanaonyesha nn katika jamii!
   
 11. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  umewataja remmy na moshi kwa mtazamo wako lakin wapo wanaomuona kanumba kama shujaa. Ofcoz kwa upande wa umaarufu kwa jamii nzima kanumba ni zaid ya hao uliowataja anajulikana kwa lika zote lakin nenda kakaulize kanafunzi ka darasa la pili kama kanamfahamu tx moshi au dr. Remmy.
   
 12. N

  Neuton I. Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi ndo nimeboreka kabisa, eti na tv ya taifa nayo inarusha matangazo ya msiba live. Jamani mi nshachoka na mambo ya hii nchi.
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  mwanzoni nilitaka nilete uzi wenye maudhui haya lakini nikaogopa 'madongo' ya watu wa bongo movie!
   
 14. n

  nketi JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nyie hamjui kuwa kikwete ni potezapoteza...anataka watu wasahau matatizo aliyoyasababisha kwa udhaifu wake kiuongozi. Anatafuta coverage mpya. Bado haamini kuwa watz hawadanganyiki kirahisi hivyo.
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Mtasema sana, lakini ndo keshapata state burial.

  Kila mtu anazaliwa na nyota yake, Dr. Remy na Tx William hawawezi safiria nyota ya Kanumba.

  Let the guy rest in peace!
   
 16. K

  Kyoombe JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 649
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  Libera nos Domine
   
 17. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,792
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  mkuu una kitu moyoni, kimwage hapa tupate pa kuanzia
   
 18. G

  GENDAEKA Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angalia watu walivyokuwa wengi?serikali iliwatoa majumbani mwao?serikali imejitokeza baada ya kuona jinsi Marehemu alivyokubalika na watu kujitokeza kwa wingi kiasi kile!Na serikali isingejitokeza ingeonekana ina wendawazimu!KAMA ALIKUBALIKA,ALIKUBALIKA 2!
   
 19. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hivyo vyanafunzi si ndo alikuwa anavibaka! Kidhibiti ubaoni!
   
 20. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Sikatai umaarufu, nataka kujua kalifanyia nini taifa mpa azikwe kitaifa?
   
Loading...