Bil 150/= kwa nn tusinunue ndege badala ya kutafiti kwa nn watoto wanafeli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bil 150/= kwa nn tusinunue ndege badala ya kutafiti kwa nn watoto wanafeli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dosama, Apr 11, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Natambua elimu ndo kila kitu katika swala zima la kimaendeleo. Hivi majuzi serikali imetenga sh. Bil 150/= kufanya utafiti ni kwa nini wanafunzi wanaferi na wengine wanafaulu ihari hawajui kusoma wala kuandika.

  Kwa serikari makini haitaji utafiti majibu yako wazi na yamekuwa common hakuna jipya hapo.

  Sasa kwa mtazamo wangu ni kwann wasinunulie ndege fedha hizo kuliko kuzipeleka kwenye matumbo ya wateule wachache na ukata huu?
   
 2. b

  bigi Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unadhani watakula wp?
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hawa wezi wamekwisha zifanyia mahesabu hizo fedha toka walipojua zitapelekwa huko na ndio maana kijana wa BWAGAMOYO akapelekwa huko; wezi hawa hawa ndio waliiba zile fedha za barabara ya Msata mpaka Bwagamoyo pamoja na kampuni ya Kikorea iliyosepa baada ya kuchukua mshiko na mpaka leo hamna aliyewajibika ingawa wahusika wanajulikanaa!!! Hii ndio Bongo, inaliwa na wenye meno hata kama ni wagonjwa!
   
 4. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Aaaaaaaaahhh kumbe ni chenji ua rada nimegundua si Cheyo keshasema serikali hamna kitu
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,765
  Trophy Points: 280
  Majengo ya TBC kupakwa rangi kwa bilioni 9.
   
 6. L

  Lion's Claws Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pesa zote hizo za nini wakati walimu wapya hawana mishahara? Naona wanataka kurudisha walichotumia kwenye kampeni za uchaguzi.
   
 7. c

  chilubi JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 3,028
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Zinunuliwe ndege?? Wakati shirika la ndege liliwashinda wakapewa south africa! Ndege ya TZ ina michoro ya S.A, bora walipwe walimu hizo bilioni tu!
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160

  Ukuta wa Ikulu kukarabatiwa kwa 20bn
   
 9. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huo ndo NGESEU wa watawala wetu, kila siku wanafikiri kujinufaisha tu na ss wazalendo feki tuko kimmmmmyaaa, tungekuwa wazalendo wa keli tungeingia road kushinikiza JK aachie ngazi na hao vihio mawaziri wake.Pumbafuuuuuuuuuuuu
   
Loading...