Igizo la Kanumba limekwisha turejee kwenye kashfa za Lusinde na kipigo cha CCM

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Ingawa majonzi bado yapo kutokana na msiba wa Steven Kanumba, kuna haja ya kuwakumbusha CCM kuwa ahueni waliyoipata hasa Livingstone Lusinde aka Domo Chafu aka Kichaa imetoweka. Lazima tuwarejee ili Lusinde ashughulikiwe. Ingawa CCM waliutumia msiba kuficha aibu yao, bado tatizo liko mlangoni likiwangoja. Sasa igizo la CCM la kumtumia Kanumba limekwisha turejee kwenye kashfa za Lusinde na kipigo cha CCM. Hata hili la Lema kuvuliwa ubunge bila mkashifiwa kukanyaga mahakamani laweza kuishia kuwa aibu ya mahakama hata CCM. Je wadau mna mawazo gani?
 
asubuhi kama hii, unatakiwa uamke na mawazo ya kuindeleza nchi acha kutulazimisha turudie yaliyopita,au we ni ndugu yake na lema
 
Mkuu nakuunga mkono tuendelee na lusinde ,kichapo cha arumeru,wizi wakura na lile zee la gombe kama avatar uliyotumia.magamba yanasema tuendelee na mengine ilitujenge taifa hiyo miaka 50 walikuwa wapi? Wanao ruhusiwa kusema hivyo ni CDM ambayo haina uongozi wa juu wa nchi hii wanataka kutumia msiba Kama ngao
 
Ingawa majonzi bado yapo kutokana na msiba wa Steven Kanumba, kuna haja ya kuwakumbusha CCM kuwa ahueni waliyoipata hasa Livingstone Lusinde aka Domo Chafu aka Kichaa imetoweka. Lazima tuwarejee ili Lusinde ashughulikiwe. Ingawa CCM waliutumia msiba kuficha aibu yao, bado tatizo liko mlangoni likiwangoja. Sasa igizo la CCM la kumtumia Kanumba limekwisha turejee kwenye kashfa za Lusinde na kipigo cha CCM. Hata hili la Lema kuvuliwa ubunge bila mkashifiwa kukanyaga mahakamani laweza kuishia kuwa aibu ya mahakama hata CCM. Je wadau mna mawazo gani?

Na wewe ni muigizaji nini? mbona umefurahia sana Kanumba kufariki hadi unaona lilikuwa ni igizo si msiba? Kakufanya nini mpaka umchukie hivyo marehemu? Wivu bhana kitu kibaya sana.
 
Back
Top Bottom