Moto mkubwa maeneo ya stand ya Arusha mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto mkubwa maeneo ya stand ya Arusha mjini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sordo, Apr 10, 2012.

 1. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dau kuna taarifa za moto kuwaka maeneo ya nyuma ya stand ya mabasi za mikoani arusha mjini, ndio zima moto wamefika eneo la tukio kujaribu kuzima ila bado hawajafanikiwa kuuzima
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Chanzo cha moto huo nini? na moto huo umeanza saa ngapi?
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Huna uhakika au
   
 4. M

  Mbilimbili Senior Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni tetesi au una uhakika na ulichokiandika?
   
 5. n

  ndukushi Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari za hivi punde ni kwamba kuna moto umezuka katikati ya jiji la Arusha maeneo ya Sabena. magari ya zima moto yameshafika na wanaendelea kupambana na moto huo,. chanzo cha moto bado hakijajulikana

  :A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
   
 6. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Pole sana wanaarusha, vp hao jamaa (fire) walifika kwa muda muafaka?
   
 7. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mh! Poleni rchuga
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  ni kweli me mwenyewe nimeskia radio mawingu muda si mrefu!
   
 9. kilght

  kilght JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 626
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  najua watasema tu?????
   
 10. O

  One Man Army JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  magamba kazini..
   
 11. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  asante kwa taarifa pia poleni ila siku nyngne ripot kama iz tupia hapa "HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO"
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Hivi moto ni siasa siku hizi? kama ni kughafirika kwa nini hizi thread zenu huwa hamziazishi kwenye jukwaa la Wakubwa? Nawaomba mods ule utaratbu wa kuipitia thread kwanza kabla ya kuiruhusu naomba urudishwe.
   
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Nilikatiza mitaa ile sikuona labda umezima au ulikuwa haujaanza
   
 14. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Poleni ndg zetu wa A.town,jitahidini kuuzima msitegemee sana fire.simnajua wapo kisiasa wale.
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mkuu basi heri kuwa na jukwaa la Breaking news
   
 16. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  weka picha mkuu, hiyo ulo weka haitosheezi.
   
 17. M

  MGIDEON Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri jamaa amejisahau,kama unavyojua mazoea hujenga tabia na huenda anatumia sana jukwaa hili kuliko lile la habari mchanganyiko.Anyway tunamshukuru kwa taarifa yake.
   
 18. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Bado halitakuwa na tija utalewa hadi Breaking news ya Wema Sepetu afumaniwa, cha msingi Admin warudishe ile system ya hot news iwe inaonekana na kila mtu anaelog in inakuwa inapita juu kwa vyevyote vile mtu makini akifunguwa mtandao tu habari ya kwanza ni lazima aanze na hiyo.
   
 19. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  polen wana A.Town
   
 20. K

  Kuntakint JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,110
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Ukifuatilia sana mikoa ambayo moto imetokea sana ni zile mikoa ambayo washabiki wengi ni chadema. Vyanzo hivi usababishwa na wanaccm ambao wanapewa pesa, na kuchoma moto ili wananchi wanaoipenda cdm waichukie. Na hapo serikali / ccm uja na mikakati ya kusema tutawajengea soko jipya. Lakini ukweli ni kwamba ni ccm ndio wanaochoma masoko moto
   
Loading...