Tbc1 wakata matangazo bungeni, wanarusha mazishi ya kanumba live | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc1 wakata matangazo bungeni, wanarusha mazishi ya kanumba live

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wa kusoma, Apr 10, 2012.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Wamejiunga na clouds tv live kutoka leaders wanarusha matangazo ya kumuaga Kanumba.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Our Nation is going to HELL
   
 3. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Sina tatizo na Clouds TV kuonyesha live mazishi ya Kanumba, lakini hili la TBC 1 nayo kurusha live mazishi hayo linanishangaza sana. Hivi kwa TBC1 Tv ya Taifa, suala hilo ni muhimu kiasi hicho? Mbona coverage ya matokeo ya chaguzi ndogo huwa haifuatiliwi kiasi hicho?
   
 4. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Hayo ndio mambo ya kuishi in the past! Ni kweli kwa kanumba alikuwa na umuhimu wake kwetu na tunamuheshimu. ILa its ridiculous kuacha kuangalia mustakabali wa taifa letu zima for the sake of one man, who is dead
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  our Nation is going to HELL

   
 6. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  meli ya zanzibar ilivyozama wao walikuwa wanarusha taarabu
   
 7. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hapo ndoyo utaona tofauti ya Tanzania Chini ya CCM na nchi zingine.
   
 8. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Umeooonaa eeehh
   
 9. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Khaaaaaaaaa!!!!!najivua u tz.
   
 10. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Pia wagojwa walipokuwa wanakufa muhimbili wenyewe wako busy na taarabu
  Sijui hii nchi inaenda wapi
   
 11. Catch-22

  Catch-22 Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nchi ya majnun
   
 12. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  The ever smilling guy was there too......I wonder if there is any true grieving in this episode from the so many who attended including HIM


  [​IMG]
   
 13. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  .....ivi watu wengine mkoje,....
  Kanumba ana deserve hata CNN coverage....
  By the way wewe waumia nin?
   
 14. C

  COSTOMER Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hawarushi walichukua link kutoka clouds tv, ila walichokifanya cha ajabu ni kwamba wamechukua link ya watu halafu inajifanya inataka kuificha logo ya clouds huo ni uselfish TBC1 acheni ubinafsi mnafikiri ndo kuscoop ama?
   
 15. A

  Amelie Senior Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CNN WALIONYESHA KUAGWA KWA M.JACKSON.Wivu utawauwaaaaa.
   
 16. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kama unaenda kanisani na mhubiri wako anakuambia habari za kupata hela,mchumba,kutoa mapepo na magonjwa bila kukuhubiria utubu na uache dhambi angalia mara mbili na achana naye anakupoteza mbaya kwanini usijiombee mwenyewe kwa Mungu wako iweje mtu mwingine akuombee kwa niaba yako tubu dhambi,wapende wenzio kama unavyojipenda,saidia wenye shida na uache kutenda dhambi utaona mwnyw neema zitakavyokushukia achana na hao manabii/mitume na soon ataibuka mmoja wao na kujiita Yesu!

  Edit Reply Report Post
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  huyu mtu alikuwa mwasherati na watoto wadogo,alitakiwa kushtakiwa jamani,huyu lulu ni under 17 huyo kanumba alitakiwa akamatwwe kabisa lakini nashangaa wanamfanya kama shujaa
   
 18. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  there is no hell as you think!
   
 19. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Acha tu warushe ya Kanumba. Huko mjengoni wanajadili upuuzi tu, mchakato unaendelea, upembuzi yakinifu,
  serikali inalifanyia kazi, wkt hamna lolote wanalofanya.
  Bora tu wawaunganishe watz kushiriki maziko ya Kipenzi chao.
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  nyie hamna akili kabisaaaaaa......pumbavu kabisa.....

  msomeni ibrah tena...
   
Loading...