Tabora mji wa mafunzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabora mji wa mafunzo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bra-joe, Apr 11, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Mkoa wa Tabora umekuwa ukitumiwa na serikali kufundishia viongozi, kwani viongozi wengi wa mkoa huu huwa mara yao ya kwanza kashika nyazifa zao, wakipata uzoefu tu wanahamishiwa mikoa mingine.

  Pia Tabora imekua chuo kikuu cha biashara kwa ndugu zetu kutoka mikoa ya Kigoma na K'njaro, kila duka uswazi ni Wachu na mjini ni mangi, wote hawa wamejifunza biashara hapa hapa Tbr. Hata ukitaka kujifunza soka Tbr inawezekana, wachezaji wengi waliotamba ligi kuu Tz wamepitia Tbr, ukitaka kujifunza ujambazi au uzinzi hapo ndio usiseme!!

  Hata kwa wazawa wenyewe Tbr ni chuo cha maisha kwani maisha ya Tbr usipime. Cha kushangaza wote waliosaidiwa na mkoa huu hawataki kurudi kuchangia maendeleo ya mkoa huu. Mwisho ningependa mkoa huu uitwe EDUCATION CITY.
   
Loading...