Tbc! tbc! Jamani!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc! tbc! Jamani!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Asango, Apr 10, 2012.

 1. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ki ukweli nimefurahishwa na taarifa ya kutaka kuboresha tbc.na mkurugenzi kasema zinahitajika shs bil 18 .na serikali imesema itakopa nssf. Mi na ushauri kwa serikali kwmb bajeti ya fedha inayotarajiwa kutumiwa kwny uchaguzi wa Arusha mjini ambozo ni bil 19 zitumike kwenye maboresho ya televisheni ya watanzania badala ya kutumiwa na watu wachache.wadau nyie mna maoni gani?
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hiyo heading yako inaonyesha jinsi ulivyofurahishwa au jinsi ulivyoshangazwa na management ya TBC1 kutaka 18bl ili iboreshe matangazo yake?

  TBC1 kwangu mimi ni kama uozo fulani maana mpaka hapo walipo hawabadiliki n hata wakipewa hiyo pesa hawatabadilika kwa sababu hawazingatii weledi.
   
 3. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mi naona wakifanya marekebisho wafanye mabadiliko ya uongozi wa juu wa tbc ili kuleta ufanisi zaidi.
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Ntafunga na kuomba ili NSSF wagome kutoa huo mkopo
   
 5. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280

  Tatizo hata wakipewa Trillions of Money!!!!! Stil tatizo litakuwepo tu.

  Tatizo la TBC wanashindwa kufanya kazi kibiashara kwa sababu wanajifanya kuwa wao ni Serikali ya CCM, na wanavyopumbazwa na hisia kuwa Chama kimeshika Hatamu; hivyo kila watakachotaka toka Serikalini watapewa kirahisi.

  TBC inahitaji kuwa na matangazo ambayo yatasaidia kuleta faida na shirika liweze kujiendesha lenyenyewe lakini wao wanafikiria "Leo Raisi Kikwete anaenda wapi tumuweke auze sura katiak taarifa ya Habari; pia Leo CCM au Waziri fulani yupo wapi tumuweke auze sura" Badala ya kufikiria tupate wapi matangazo ili kupata faida.

  Ndio maana hata Taarifa za Habari TBC hazina mvuto kwa watazamaji kwani kila siku Raisi Kikwete anauza Sura tu, hivyo kusababisha hata makampuni kutoitumia TBC kwa matangazo, Zaidi zaidi ni makampuni ya Serikali ambayo bila shaka wanawakopa tu.

  Tena na ITV nayo inakosa mwelekeo kwani nao wameanza mchezo wa kukosa habari na kuishia kuweka watu wa kuuza Sura kila siku mfano ukiangalia ITV saa mbili usiku lazima taarifa ya kwanza uone Sura ya Kikwete, nakuonyeshwa Ng'ombe.

  Yaani ITV nayo imeshaanza kuniboa hawana habari zenye mvuto kwa watazamaji.


  KINACHOTAKIWA TBC ni KUJIREKEBISHA UTENDAJI WAO NDIPO WATAFANIKIWA. WALIMFUKUZA TIDO MHANDO KWA fitina zao.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 6. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  TBC inaendeshwa kimazoea na sio kitaalamu hata ikimwagiwa hayo mapesa itabaki kuwa dubwana linalokula kodi za watanzania.Acha tu ife natural death au ikabidhiwe wawekezaji angalau hata kiwe chombo huru na sio msukule wa CCM.Hakuna haja ya kujaribu kuokoa mzoga kwa kodi zetu.
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Hivi wanaboresha TBC kwa manufaa ya nani hasa,TBC pale ilipo ina mitambo mizuri kuliko vituo vyote vya televisheni hapa nchini yet ndio kituo cha TV kinachoongoza kwa kuleta habari nusu nusu zisizo na mishiko kwa watazamaji.Kwa upande wangu naomba kwanza TBC wapimwe kwanza kutumia resources walizonazo then wakionekana wanamudu ndo waongezewe na hao NSSF wajue hela hizo wanaziokopa ni zetu wafanyakazi tunaochangia kwa hiyo ifike kipindi wasikurupuke wanapokopesha makampuni wajaribu kukopesha makampuni ambayo angalau 50% ya wafanyakazi wake wanachangia mfuko wa NSSF maana nachojua wafanyakazi wa TBC almost wote wapo PPF so ingefaa wakakope PPF na sio NSSF. Mwisho kabisa TBC hata wapewe mkopo wa billions 100 hakuna maboresho yatakayofanyika maana inaendeshwa kimaslahi ya kundi flani so hizo hela wawapelekee hata wafungwa magerezani wajichane balanced diet basi
   
Loading...