Kipina joto (kanum.. Vs .. Lul..)

sawani

Member
Feb 7, 2010
9
7
Mapenzi ya watu kwa MAREHEMU, na sifa kem kem kutoka kwa SIRIKALI kuwa MAREHEMU amekuwa balozi wetu nchi za nje kantika tasnia ya kujifanya mtu mwengine, kunampa uhalali MAREHEMU kuwa na urafiki wa kimapenzi na mtoto mwenye umri chini ya miaka 18, japo siku zote tunapigia kelele jambo hilo? Na je anapotuwakilisha… huko nje… anatuwakilisha pia katika hilo?

Kama jibu lako ni NDIYO, hakikisha wewe mwenyewe ni wakiume, na kama jibu lako ni HAPANA muombe Mungu uzae watoto wa kiume tu..KIPIMA JOTO
Mapenzi ya watu kwa MAREHEMU, na sifa kem kem kutoka kwa SIRIKALI kuwa MAREHEMU amekuwa balozi wetu nchi za nje kantika tasnia ya kujifanya mtu mwengine, kunampa uhalali MAREHEMU kuwa na urafiki wa kimapenzi na mtoto mwenye umri chini ya miaka 18, japo siku zote tunapigia kelele jambo hilo? Na je anapotuwakilisha… huko nje… anatuwakilisha pia katika hilo?

Kama jibu lako ni NDIYO, hakikisha wewe mwenyewe ni wakiume, na kama jibu lako ni HAPANA muombe Mungu uzae watoto wa kiume tu.. :(
 
Back
Top Bottom