Unachagua kuwa nani hapa Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unachagua kuwa nani hapa Tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAMC, Apr 10, 2012.

 1. M

  MAMC Senior Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Watoto wa Karne hii,ni wanajifunza kwa vitendo zaidi kuliko sie tuliokarilishwa wakati tukisoma!
  Hivi karibuni tumeshuhudia two extremes katika career hapa nchini na jinsi zinavyothaminiwa ! I.e watu wanao kreki kwa kusoma na kuchapa kazi e.g madaktari,viongozi wa majeshi, waalimu (Balali,Gen kihweru,Mahundi,etc) kwa upande mmoja na wasanii kama Kanumba,Chifupa,nk,

  Kila mtu ni shahidi ni kina nani jamii imetumia resources nyingi -muda,hela,polisi,viongozi, kuangazia maisha yao na hata mazishi yao.

  Kama hivi vitu vinaweza tafsiriwa kama recognition basi je ni kina Nani wapo juu? Na je mwanao akitaka kuwa kama wao kesho utamshauri vp? Kwani huo umati unaojaa from all sections of our society hapo makaburini kama leo umekodiwa au kulazimishwa?

  Kila fani ni muhimu au vp? Je hii ni kweli hapa Bongo?

  Pengine huu ndo wakati muafaka wa kuacha complicate life kwa kufanya mikazi migumu? Hafu ufie njiani kama Gen.Kyaro!
   
 2. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  %?,!"(<%&£@[]/;$§@¤¤&{}~~# ¤£$¥££¥¥¥?=**@@$$
   
 3. M

  Mzee wa SUP Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :)=#:'(
   
 4. v

  vngenge JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Watu serious huwa wanapay attention na issue serious lakini easy minds wako busy na mambo mepesemepesi kama vile umaarufu, matukio na soga. Sasa kama Taifa limeangukia katika category ya pili basi tuna matatizo makubwa kuliko tunavyofikiria. Sasa kila mtu anakuwa busy ku gain mass popularity!!!!!!!!!!!!1
   
Loading...