je Alqaeda ni kundi linalo pingana na marekani au ni propaganda za wamarekani tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je Alqaeda ni kundi linalo pingana na marekani au ni propaganda za wamarekani tu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by elmagnifico, Apr 11, 2012.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  siku zote uwa najiuliza hili swali?
  Je ni kweli kwamba Alqaeda inapigana na Marekani? Au ni propaganda inayo tumiwa na Marekani ili iweze kuvamia na kutawala nchi za Mashariki ya kati.
  Kuna kila dalili ya kuwa Osama alikuwa anatumiwa na Marekani kutimiza malengo yao kuptia Alqaeda. Vijana wengi wamejiunga na Alqaeda pasipo kujua hasa ukweli wa Alqaeda na mpaka leo wanaendelea kujiunga na kujitolea kwa moyo mmoja kwa ajili ya kupigania wanaloliamini.
  Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje bwana Robin Cook wa Uingereza aliwahi sema yafuatayo kabla ya kifo chake

  "Al Qaeda" is
  not really a terrorist group but a database
  of international mujaheddin and arms
  smugglers used by the CIA and Saudis to funnel guerrillas, arms, and money into
  Soviet-occupied Afghanistan.

  Wadau tujadili na ntaendelea weka evidence toka source mbalimbali mjadara utakavyo kuwa unaendelea.
   
Loading...