Inaniwia ngumu kusema Mungu ambariki Lema.....

Inaniwia ngumu kusema Mungu ambariki Lema.....

Ta Muganyizi

R I P
Joined
Oct 19, 2010
Posts
5,355
Reaction score
2,739
Sina uhakika kama niko sahihi lakini nimepata tatizo kidogo. Mwenye jibu anijuze. Hivi nikitaka kusema Mungu ambariki Zitto nitasema God Bless Zitto, au kwa wengine nitasema God Bless Wassira!!!(although i doubt if he can be blessed), au God Bless Lusinde. Lakin inpofika zamu ya aliyekuwa Mbunge wa Arusha napata utata kidogo. Yeye ni Godbless Lema..........haya nisaidieni naiwekaje hiyo.

Swala la pili kama kuna mtu katutoka hapa duniani......na labda alikuwa fisadi ambaye ametutesa sana watanzania. Kama namtakia mema huko anakokwenda nitasema R.I.P, sasa kama nataka akaone cha moto huko anakokwenda natamkeje? Rest in trouble au( RIT) ? is it acceptable......lakini sipendi hata arest nataka asirest kabisaaaaaaa...yaaani malaika wa adhabu waendeleeee kumharibian ninasemaje? Nisaidieni jamani.

GOD BLESS YOU ALL.
 
Ningesema god bless Godbles Lema!!

Mie kama namlaani mtu huwa nasema To Hell au Nenda mwan kwenda ukafe tena...Lol
 
Sina uzoefu na Viroba ningesema kitu hapa
 
Jina nalifahamu, lakini ili kuweka sawa jina lake la mwanzo naachana nalo natumia la ukoo yaani Godbless Lema
 
kazi kweli kweli, nadhani wachaga wanawajibu wakuheshimu Jina la Mungu, kuna rafiki yangu anaitwa Munguatosha.
 
Ningesema god bless Godbles Lema!!

Mie kama namlaani mtu huwa nasema To Hell au Nenda mwan kwenda ukafe tena...Lol

Huyo god wa herufi ndogo ana wenyewe...........akina prof tall water
 
Back
Top Bottom