Moto mkubwa ambao taarifa za awali zinasema umetokana na hitilafu ya umeme katika
ofisi ya upelelezi ya wilaya umeteketeza maduka kadhaa na soko zima la Tandahimba ikiwa
ni pamoja na ofisi hiyo...
Kuna dada fulani jana alinipigia simu na 'kuniomba' nifike hapa UP, saa 7 mchana. Nimefika na kukuta watu kama 1000. Tupo hapa ukumbi wa Blue Pearl na kila ninayemuuliza hafahamu kitakachojiri...
kumekuwa na wimbi la bidhaa nyingi feki, zenye waranty ya mwezi mmoja mpaka mitatu, bidhaa hizi hutufanya kununua au kuagiza vifaa mara kwa mara kutoka nje, jambo ambalo hutumika pesa nyingi...
Upepo wa siasa Tanzania umeshika kasi na mageuzi yamepamba moto, mwenye macho anaona mwenye akili anajua tunakoelekea, hakuna maajabu kama viongozi wa ccm kujifanya wao niwajuzi sana wa mambo...
Zoezi la Usafi wa mazingira wilayani Biharamulo limeingia Doa pale DAS ambaye ni mdau mkuu wa zoezi hilo kufuatia agizo la RC mkoani Kagera Jana Kupambana na askari wenye hasira waliomtembezea...
Leo ni siku nzuri sana kwangu,, kati ya siku nyingine nyingi ambazo nilipata fursa ya kufatilia matangazo ya Bunge na kuyafurahia....!
Leo hapakuwa na mkwaruzana mkubwa sana kati ya wabunge na...
Baba wa taifa alisema tupige vita maadui watatu katika taifa letu, ambao ni UJINGA, MARADHI, Na UMASKINi, lkn kwa sasa ameongezeka adui mwingne wa kupigwa vita kwa kushindwa kufanya kazi ambaye ni...
chadema- ni chama kinachotupeleka kwenye ukombozi wa ki fikra,kimatendo,kisiasa na kielimu pia.
CCM -imefanya mazuri mengi yaliowafikia wachache ndani ya 50YRS UHURU na kamwe hayakuweza kukidhi...
Ktk taarifa ya habari saa saba mchana naibu waziri wa Elimu kamvua madaraka mwl mkuu mmoja wa shule ya sekondari mkoani Dodoma mara baada ya kufanya ziara inayodai ya kushtukiza.
Kisa cha...
Mwananchi lahujumiwa Dodoma
GAZETI la Mwananchi linalochapwa na Kampuniya Mwananchi Communications Ltd (MCL), juzililigeuka bidhaa adimu mjini Dodoma baada ya
watu wasiojulikana, kulihujumu na...
WanaJF kabla hujasoma post hii, hebu angalia Avatar yangu kwanza.
Naam, tukitaka mabadiliko ya kweli kwenye nchi hii, tunatakiwa tuchukue maamuzi magumu na mazito ya kuikana CCM na mambo yake...
Nimefuatili vikao vya wabunge kwa muda sasa,ila cha kusikitisha sana wabunge wanalalamika tu,na kukubali majibu rahisi kutoka kwa serikali. KWA HYO WANANCHI WENZAGU TUCHUKUE JUKUMU LA...
Kutokana Kashfa mbalimbali za Ubadhilifu wa fedha za UMMA zilizo tolewa na Kamati mbalimbali za mashirika ya Umma ndani ya BUNGE KILA na serikali kuwafumbia Macho,Mi naikumbusha tu SERIKALI kuwa...
Ukiangalia Bunge linaloendelea Dodoma utadhani kuna jipya kwa chama tawala.Wanatumia hira hiyo ya kuongea na kushutumiana ili kupoza joto la Arumeru linaloongezeka kila kukicha.Nawakumbusha...
Taarifa za kukamatwa raia kuhusiana na kuchomwa kwa ofisi ya kamanda wa polisi ni uonevu na matumizi mabaya ya nguvu za dola.
Haingii akilini kusikia eti ofisi ya kamanda imechomwa moto.
Mbona...
Jamani wamalawi wana mambo,
eti wanaamini kwamba mtu sahihi anayeweza kuongoza nchi yao ni yule tu ambaye jina lake linaanzia na herufi b. Mfano
banda kamzu
bakili muluzi
bingu wa mutharika
banda...
Waache watu wafunguke, waongee kinachowakela,wafichue maovu bila kutishwa,unawashirikisha watu kutoa mawazo yao,wanakukosoa unapokosea,ukarimu,ukiona mtu anatawala kwa mabavu, dikiteta hakuna...
jana nimekwenda bank ya nmb-temeke,kwenda kuchukua pesa kwenye atm,nilitoa tsh.laki moja cha ajabu wakati nazihesabu nikagundua kuna sh.elfu thelathini(wekundu 3) ni bandia!nikatoka nikaingia...
hongereni mnaojivua gamba, naamini hii ni njia mojawapo la kuleta mabadiliko, kwani tumechoka, na hali ngumu ya maisha kupanda holela kwa vyakula. Mfano kiroba cha unga kimepanda na kufika 18500...