Hatari Tandahimba, Polisi wateketeza soko na maduka, Mwema na Makamu wa Raisi Watua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatari Tandahimba, Polisi wateketeza soko na maduka, Mwema na Makamu wa Raisi Watua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAZETI, Apr 18, 2012.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,527
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Moto mkubwa ambao taarifa za awali zinasema umetokana na hitilafu ya umeme katika
  ofisi ya upelelezi ya wilaya umeteketeza maduka kadhaa na soko zima la Tandahimba ikiwa
  ni pamoja na ofisi hiyo ya upelelezi,
  Habari za kuaminika kutoka kwa mashuhuda kadhaa zinadai kuwa moto huo ulianza majira
  ya saa moja jioni jana. Jambo la kushangaza ni kitendo cha polisi kununua petroli na kwenda
  kumwagia baadhi ya maduka huku wakiwazuia watu waliojaribu kwenda kufanya uokozi wa
  mali zao.
  HABARI YA UHAKIKA - mtu mmoja ambaye ana duka lake eneo hilo
  (Abdalah Abdalah Camumkungu) alienda na gari lake eneo la tukio, hata hivyo alichomolewa
  kwenye gari lake na kupata kipigo kikali huku akishuhudia askari wakiteketeza gari lake kwa moto.
  Pia INASEMEKANA wananchi kadhaa wamelishuhudia tukio hilo la askari kuchoma moto maduka

  Wakati huohuo: Leo Mkuu wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema akiongozana na makamu wa Rais Dr.
  Bilali wamewasili Tandahimba kwenda kutafuta suluhu ya mgogoro huo.
  MAREKEBISHO.
  Aliyewasili Tandahimba ni Paul Chagonja KAMISHNA WA OPERESHENI MAALUM na si Mwema
  na Shein kama nilivyoeleza awali.
  MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
 2. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Source please!
   
 3. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh jaman huyu Makamu wa Rais amekuja saa ngapi huko, mbona leo mchana nimemuona akielekea njia ya White Sand"
   
 4. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,527
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  1.Vyanzo vya kuaminika ambavyo haviwezi kutajwa kwa sababu maalum.
  2.Wananchi wa Tandahimba.
  3.Mimi mwenyewe ambaye nimeondoka huko leo saa 11. Alfajir.
   
 5. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,527
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Maduka zaidi ya 50 (Hamsini) Yameteketezwa kwa moto huo
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  jasho la watu haliliwi kihivyo...wawadhulumu korosho na mali zingine....kama hadi wamakonde wameamka tusishangae wakawapopoa hao wakandamizaji wa haki
   
 7. n

  nkundaruwa Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tujiulize kwa makini sana, kwamba kwanini hi habari hairipotiwi kwny media nyingine kwa nguvu? Nani anaizuia isiripotiwe?
   
 8. B

  Baby shangazi Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umeona eeh?cjaiona wakiitangaza cjui kuna ajenda gan nyuma ya pazia!
   
 9. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  nilisikia redioni kuwa ni wananchi ndio wamechoma moto soko hilo na kituo cha polisi kipo hapo hapo hapo sokoni pia kimeteketezwa na polisi wanatumia helkopta kuwasaka hao watu.
   
 10. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Tandahimba ni mojawapo ya maeneo ambayo ccm inatumia ukilaza wa wananchi kuendeleza utawala wa kiimla. 2015 ndio nafasi yenu kutorudia kosa la kuichagua ccm
   
 11. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Fuatilia vizuri matokeo ya uchaguzi mkuu 2010, ccm haikushinda.
   
 12. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  mkuu polisi ndio wamechoma soko na kukataza raia wasiokoe mali zao, ofisi ya ocd ndio imeungua ki2o cha plisi kipo mbali kabisa.
   
 13. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,527
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Ndio naisikia sasa hivi kwenye TUONGEE MAGAZETI STAR TV ikiwa imetoka
  HABARI LEO tena juu juu tu tofauti na uzito wake Halisi, Nina mashaka na
  vyombo vyetu vya habari.
  TBC - Naiona ikipita chini kuwa polisi kufanya uchunguzi juu ya tukio la
  kuchomwa moto kituo cha polisi Tandahimba.
   
 14. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyombo vingi vya habari vya tz haviko independent katika kuripoti,vinategemea maagizo ya wamiliki ama walio kwenye system,tunahitaji aljazeera ya tz ituhabarishe bila mizengwe
   
 15. T

  Tewe JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Cdm kwanini msitume jembe moja huko likaonelgeze matawi na kuanzisha uamsho kwa mikoa ya kusini?
   
 16. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Mwanzoni nliwasifia sana hawa jamaa lakini walipoanza kushambulia wafanyakazi wa ngazi za chini kabisa kama walimu nikoana kua hawa watuhawafai kabisa. Inabidi waelimishwe wajue kua adui yao ni yupi kabla hawajaanza kuponda watu.
   
 17. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kuna mmoja alikuja na kusema wananchi ndo wamechoma jana
   
 18. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mola ibariki Tanzania. !!
   
 19. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Amin!!!
   
 20. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #20
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  kazi bado ngumu ila wataelewa tuuu hatra kwa viboko!!!
   
Loading...