Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Poleni na majukumu ndugu zangu. Nafikiri tuangalie upya structure ya baraza la mawaziri and if possible the reporting line. Personally I dont care who are appointed into those posts but my concern...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekuwa nikimfatilia sana naibu waziri wa elimu kuna siku alionekana anasoma attendance register kwenye parade,siku nyingine anakagua mitaala ya shule,jana analaumu necta live kwenye tv kwa kutoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NAOMBA KUJUA wapo hii hospitali itajengwa, ni eneo lipi hapo dsm, kinondoni, temeke au wapi, specific area ni ipi, naomba kujua tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikwete ameteua wabunge watatu (3) kwa mamlaka aliyopewa kama rais ambao ni: 1. Profesa Sospeter Muhongo. 2. Bi. Janet Mbene na 3. James Mbatia. Source: Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
viongozi wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa kilimanajro mecki wameingia kwenye kashfa nyingine nzito safari hii ikiwa ni ya ufisadi kwa kutumia fedha kwa udanganyifu. Ufisadi huu wameufanya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawaomba watanzania wote wapendao nchi yao 2015 tulinde wenyewe vituo vya kupigia kura nape na wenzake hawana ubavu zaidi ya kununua na kuiba kura za watanzania. Kikwete analijua hili ndio maana...
1 Reactions
1 Replies
886 Views
NHC tunauza nyumba kwa bei nafuu..milioni 119,000,000/= Zakitanzania!!! Hapo ndipo nimekumbuka Hayati Mwalimu Nyerere aliyeweka misingi bora kwakuanzisha makampuni mbalimbali kati ya makampuni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Leo ni Siku ya Uhuru wa Habari duniani. Ni siku inayotuhusu sote. Enzi za Ukomunisti kwenye Soviet Union kulikuwa na magazeti mawili makubwa; Pravda na Izvestia, ikiwa na maana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni ukumbi mzuri,na ni fahari ya wakazi waliopo maeneo ya pembezoni mwa Jiji hili.. Lakini Duh!! Usiombe BOZA limwagike, Mtakomaje.....
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Wamasai ni watanzania wenzetu na wanaotambulika ulimwenguni kuliko kabila lolote lile la kitanzania kutokana na utamaduni wao kuanzia jinsi wanavyoishi hadi mavazi yao. Tatizo langu linakuja pale...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu Kamrani ni nani ? anaishije hapa nchini ..kuna mbunge anasema kuwa maofisa wa serikali wanaogopa hata kufika nyumbani kwake.. huyu nani mwenye details za huyu mtu .imesemakana amewabeba tiga...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo majira ya saa 4.00 asbh kumetokea ajali mbaya ya basi la NBS linalotokea Tabora kwenda Arusha, basi hilo lilipasuka Taili la mbele na kugonga mti na kuung'oa na kisha kupinduka, hadi sasa kuna...
0 Reactions
52 Replies
14K Views
Wakuu hivi hapa tanzania kuna idadi gani ya hawa majamaa...hivi wapo kweli?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
i can help u to get free of cost internet working in Airtel and Zantel
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wamasai ni watanzania wenzetu na wanaotambulika ulimwenguni kuliko kabila lolote lile la kitanzania kutokana na utamaduni wao kuanzia jinsi wanavyoishi hadi mavazi yao. Tatizo langu linakuja pale...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Inashangaza kuona Pikipiki zinaendeshwa kwa uvunjaji mkubwa wa sheria, na maranyingine mbele ya polisi wa barabarani.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Yule daktari aliyeandikwa kwenye magazeti miezi michache iliyopita kwa tuhuma za kuhamishia vifaa vya dialysis vya mnh kwenye centre yake amekuja na stail mpya ya kuwafukuza wanachuo clinic...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa yafuatayo juu ya mkaguzi mkuu wa serikali (CAG) na ofisi yake... 1. Mahesabu ya ofisi yake yanatakiwa yakaguliwe na nani? 2. Mpaka sasa mahesabu ya ofisi yake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu watanzania wapenda mabadiliko. Ninawaombeni wote kwa umoja wetu hasa sisi tunaoamini katika nguvu ya umma tusiitizame tena TBC one tuikatae kwa vitendo. hiii ni kwasababu zifuatazo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama wiki tatu hivi zilizopita kulikuwa na mabadiliko ya ranks za hapa JF,naona leo zimerudishwa zile za awali,mliolalamika kama mimi baada ya rank ku drop sasa kiroho kwaatu!
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…