Majemedari (MARSHALLS)

Majemedari (MARSHALLS)

Kyalow

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,563
Reaction score
2,613
Wakuu hivi hapa tanzania kuna idadi gani ya hawa majamaa...hivi wapo kweli?
 
wa kada zozote kuanzia majini,anga na nchi kavu
 
hakuna hata mmoja. Vyeo vyenyewe not on merits but there's more of political involvement
 
Tanzania tuna wavunja matofali kwa kichwa..
 
wapo,lakini hawana vyeo kabisa,kama vp nenda ngerengere uwaulizie
 
Hakuna hata mmoja na hajawahi kuwepo tangia tumepata uhuru. Mwisho wetu ni Full Generals na tangia tumepata uhuru huwa ni mmoja tu kwa wakati mmoja ambaye huwa ni CDF.
 
duh!! poa kaka kumbe mmoja tu?
 
nadhani ulimaanisha field marshal.., kuna tofauti kubwa ya marshals na field marshals..,

Kwa field marshal ambaye unataka kumfahamu..., kwa rank za kijeshi(not appointment) lazma awe ameongoza majeshi ya nchi kupigana vita kamili (total wars) mbili na kushinda zote,,,

Hapa tz hatuna, lakn nchi nyingi sana pia hakuna...,
 
hivi unajua kwamba mubarak alikua ni Air marshall....afu kuna yule jemedari tantawi wa misri pia!! kibongo bongo ndo sijuhi
Mimi sikumaanisha field marshall pekee but kuna marshall yeyote?
 
Tulikuwa na Field Marshall John Okelo. Sijui kama yupo hai!
 
Tungekuwa nae ata mmoja mara baada ya mjadala wa kamati za bunge na report za CAG angekuwa keshachukua nchi
 
nadhani ulimaanisha field marshal.., kuna tofauti kubwa ya marshals na field marshals..,

Kwa field marshal ambaye unataka kumfahamu..., kwa rank za kijeshi(not appointment) lazma awe ameongoza majeshi ya nchi kupigana vita kamili (total wars) mbili na kushinda zote,,,

Hapa tz hatuna, lakn nchi nyingi sana pia hakuna...,

Ina maana hata wanaoongoza vita dhidi ya wapinga matokeo ya uchaguzi hawajafikia huko? Well Moshe Dayan, ni ngumu sana kwa nchi amabyo haina vita kupata field Marshals. Sijui yule wa Egypty na Idd Amini walipataje hizo title. I know Erwin Rommel, who was also called desert fox had that title during world war II
 
Back
Top Bottom