Tujilinde wenyewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujilinde wenyewe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andrews, May 3, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  NAWAOMBA WATANZANIA WOTE WAPENDAO NCHI YAO 2015 TULINDE WENYEWE VITUO VYA KUPIGIA KURA NAPE NA WENZAKE HAWANA UBAVU ZAIDI YA KUNUNUA NA KUIBA KURA ZA WATANZANIA.KIKWETE ANALIJUA HILI NDIO MAANA AMEWAACHA KWENYE MATAA.SASA TUJIPANGE TUCHUKUE TAIFA LETU KUTOKA KWENYE MAKUCHA YA MAFISADI VIVA TANZANIA.:help:
   
 2. m

  matawi JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hili neno zito na muhimu sana linahitaji majadiliano ya kina ili kila mtu mwenye mapenzi mema na nchi hii aelewe adhamirie na atekeleze
   
Loading...