Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je huyu jamaa na fuvu wanaongea, analisanifu, analichunguza, analifurahia, analistikitia au? Je wanaelewana? Picha kwa hisani ya BBC.
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Said Mwema, ameunda timu maalum ya operesheni na upelelezi kuongeza nguvu kwa polisi wa Mkoa wa Arusha pamoja na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wana JF na hasa wana CHADEMA,napenda kuwapongeza sana kwa matokeo mazuri na ya kutia moyo ya uchaguzi mdogo wa igunga. binafsi naamini kuwa CHADEMA ndio walioshinda na hii ni kutokana na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Je yaliyofanywa na baadhi ya mawaziri kwenye riport ya CAG kufisadi nchi ndiyo yalikuwa malengo ya semina elekezi ? na kama siyo je mamlaka yao ya nidhamu mbali na kuwaondoa kundini iwachukulie...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Huwa najiuliza sana pamoja na usanii wa kugawa uwaziri kwa mikoa bado wilaya ya ulanga imepata upendeleo wa kuwa na mawaziri wawili kombani na huyu wa afya lakin wameshindwa kutetea hata barabara...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mitandao yote ya tiketi za ndege mmevamia na offer zenu, lakini kuwasili JKNIA ni saa 8:45 usiku, kuondoka ni saa 9:45 usiku. Kudaadekii!
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Chanzo: mpayukaji blog Tarehe 2 Mei duniani inatimiza mwaka mzima tangu kuuawa kwa kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Qaeda Osama bin Laden. Je dunia ni salama au mambo ni yale yale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona habari tbc inasema Cheka kaibuka na ubingwa katika pambano la jana dhidi ya Mada Maugo. Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi hicho ni kipigo cha tatu mfululizo mada anakipata kutoka kwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Huduma za ATM kwa sasa zimesogezwa karibu yetu wateja,lakini sasa imekua adhabu kwakweli,me huwa najiuliza nini maana yake?wateja tunapata shida sana kwakweli,mfano leo ATM ZA CRDB ndo zimekua...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
leo muda wa saa 5 kasoro 10,chanel ya TBC1,wamekata matangazo maksudi ili tusione hotuba ya mh.zitto kabwe na hili jambo linatokea mara kwa mara.mnaonaje kuhusu hili?ni nani anahusika kukata...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Kwa jinsi ninavyosoma kwenye vyombo vya habari (sijawahi hudhuria mahakamani), na kama kweli ndivyo ilivyo, nina wasiwasi ubunge wa Mnyika- Ubungo nao utatenguliwa. Sio kwa rushwa, matusi au kuiba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Written by administrator // 01/05/2012 // Habari // No comments Salma Said, JUMUIYA ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar imetoa fomu maalumu ya kuorodheshwa idadi ya yatu wanaotaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza habari zenu wakuu ! Nianze moja kwa moja na mjadala, naamini wengi wetu tumeshuhudia sherehe hii ya wafanyakazi, tumeshuhudia jinsi wafanyakazi walivyoonesha kukata tamaa na hali halisi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwakweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza...siku zooote tunaposikia misamaha ya kodi tunaelewa na ndivyo ilivyo there is some one who is paying that tax on behalf of the person who is...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamii, habari za uakika ni kwamba mabweni ya shule ya secondary ya Lyakirimu yanaendelea kuungua moto.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Previously: Mwenye taarifa kamili atujuze................... Kama Dakika 30 zilizopita, tukio la wizi wa kutumia silaha limetokea maeneo ya Tabata Sanene karibu na Tusiime Sekondari ambapo...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Nikiwa ndani ya basi la nganga kutoka mbeya kuja iringa,nimelishuhudia basi la sumry aina ya SKS BUS likiwa chali tairi juu katika kijiji cha ifunda.Kama una jamaa au nduguyo ametoka dar kwenda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kama kiongozi anasamehe wezi wakubwa je ni haki? Nani anavunja umoja wetu? Maana hakuna haki kati ya masikini/fukara na Tajiri Maana wezi wakubwa hata TAKUKURU haina uwezo nao ila wanyonge...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mabweni ya shule ya sekondari ya lakrimu iliyopo moshi yanaungua,moto huo ambao unasemekana umetokana na shoti ya umeme.hv sasa wanafunzi wapo kwny taharuki kubwa.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom