Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Agape tv wanahubiri dini au wanafanya biashara ya pombe. Kwanza naona wanajichanganya na wabaguzi kweli wale wako kibiashara zaidi, ukitaka kujua kuwa si watu wa huduma bali biashara, walikuwa wa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nipo na makamanda wezangu tunaelekea makaomakuu yc cdm
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Helping poor Nations to get out of poverty proveked to be more difficult than helping wealthy nations to recover from war. (Soma zaidi;efforts to end poverty,www.watchtower.org/e/20110601/articl_2)
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Hawa jamaa (wazanzibari) nasikia wameanza kampeni zao za kuwanyanyasa ndugu zetu kutoka Tamzania bara,source clouds radio amplifaya ya Milard Ayo,wito wangu kwa wazanzibari muishio huku bara...
0 Reactions
0 Replies
956 Views
  • Poll Poll
Wakuu kipindi nipo primary nimeshuhudia sana hiki kinachoitwa mazingaombwe. Toka kipindi hicho nimekuwa nikijiuliza maswali ambayo mpaka sasa sijapata majibu yake. Baadhi ya maswali ni haya. 1...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Sisi wafanya biashara wa kimara Mwisho tunakuomba mkuu wetu wa wilaya uje tukwambie uonevu huu.Mpaka sasa vijana wako wanatubomolea vibanda vyetu kwa kisingizio cha kujenga barabara huku Waziri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wajf naombeni msaada kwa kijana huyu ANA chem E bios S na geog D ...CBG DIV 3PTS 15.JE ANAWEZA KUPATA CHUO NA MKOPO?.MANY THANKS
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Tahadhari Kuanzia: Tarehe 30 Aprili 2012 Mpaka: Tarehe 04 Mei 2012 Aina ya Tukio Linalotarajiwa: Mvua Kubwa (zaidi ya milimita 50 katika kipindi cha saa 24 kila siku) Kiwango cha Uhakika: 80%...
10 Reactions
52 Replies
6K Views
  • Closed
saa nne hii leo basi la abiria toka mwanza kwenda dsm limepata ajali eneo la Igunga mjini watu wamekufa na majeruhi kibao -nitaendelea kuwajuza kadri taarifa nitakavyo ipata
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Waziri magufuli amefanya ziara Jangwani asubuhi hii kujionea ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi leo more info to come.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wana JF hakuna Ubishi kwamba MNYIKA atapoteza jimbo la UBUNGO na MAHANGA atapoteza SEGEREA.Mwenendo kwa kesi ulivyokuwa ni dhahiri Dar kutakuwa na majimbo mawili wazi kuanzia kesho.MNYIKA...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Nimenunua kigamuzi cha ting na antenna yake lakini picha ni mbovu, customer servises mbovu (nilipiga namba mojawapo ya kupata huduma aliyepokea alitaka nimtumie chochote ilianisaidie vzr)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MWENYEKITI Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, ametunukiwa tuzo ya dunia ya uongozi kutokana na mchango wake kwa jamii katika jitihada za kuondoa umaskini na kusaidia makundi mbalimbali ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau,mwenye habari kuhusu mwenendo wa kesi ya huyu gamba, nimepita pale mitaa ya kivukon front watu ni wengi wanasikiliza kesi hiyo. Wanamjvi fungukeni!
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Inapiga kwenye simu yako kwa kubip zaidi ya mara moja. Niliishtukia nikawapigia voda-100 (huduma kwa wateja) kuwaulizia kuhusu hii namba. majibu yamenishtua. watu wengi wamepiga kuulizia hii...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Nimehunishwa sana. Nimekuwa nikiona matangazo kwenye TV ya ATN kwa muda mrefu kwamba, wanauza ving'amuzi vya TING! Na ukinunua utaona mechi za Ligi kuu mbali mbali ulaya LIVE ikiwemo ligi kuu ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwanasheria Maarufu Zanzibar, Salum Tawfiq akitoa mada katika Kongamano la Kitaifa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika viwanja vya Lumumba Mjini Zanzibar Wazanzibari waliofurika...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
'Jaa Pipo' Nimemsikia naibu Waziri wa Nishati Na Madini , Mhe Kugoma Malima akiongea this time kupitia TBC1, Alipokua akiongea na wana Makambako juu ya kero za TANESCO . Akijibu swali toka Kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dereva wa mohamed trans James Philip amesema amekatwa Posho ya sh elfu 50.000 kisa mafuta ambayo yamewekwa yamekuwa Pungufu,dereva aliyetoa taarifa amesema kuna mahali walikwama na ndo maana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu, kila kikicha tunasikia Morogoro,Mufindi,mbeya n.k wakimbizi wa Ethiopia, Somalia nk, wamekamatwa. wanawekwa rumande, wanahukumiwa, wanapewa msamaha/wanamaliza vifungo, hawarudishwi makwao...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Back
Top Bottom