Kero ya DAR LIVE KIPINDI HIKI... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kero ya DAR LIVE KIPINDI HIKI...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kula kwa tindo, May 3, 2012.

 1. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni ukumbi mzuri,na ni fahari ya wakazi waliopo maeneo ya pembezoni mwa Jiji hili.. Lakini Duh!! Usiombe BOZA limwagike, Mtakomaje.....
   

  Attached Files:

 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Iyo picha nilizani ni staili ya kushangilia kumbe wanajikinga na mvua!
   
 3. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,537
  Likes Received: 10,457
  Trophy Points: 280
  hivi huo ni ukumbi au uwanja.?
   
 4. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Shigongo fanya mabdiliko wewe ni mjasiliamali wa ukweli kabisa hapa tanzani!
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Hahahaha sasa tabu ya nini jamani kha!
   
 6. l

  lutome Senior Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kero nyingine ma mc longo longo nyingi sana na wanachosha sana yaani inaonekana hawana working day schedule
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Duh nilijua ni aina mpya ya ushangiliaji aise kumbe ni kujikinga na mvua
  dah sasa hiyo ni starehe au balaa
   
 8. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ​huu sio ukumbi ni uwanja wa vyangudoa na wateja wao
   
 9. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  watu wenyewe wa mbagala kwao poa tu.
   
 10. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu acha, yaani kama umeenda kwa 5 5, utakoma.. ilikuwa kasheshe kwa WAPAKA MI POUUUWUDA....
   
 11. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Alafu katika promo wanasema .. DAR LIVE NDIO UKUMBI BORA NA WA KISASA KWA BURUDANI KWA DAR ES SALAAM.....
   
 12. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Shigongo ni laba stempu, sema hivi 'bilionea Riz karabati kitega uchumi chako'
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Ukumbi bora na watu kumwagikiwa na mvua hivyo aise
  Hapo ni full kero wala hakuna burudani
  Inagine wadada na nywele zao na make up zao
  Na hapo imagine uko na watu wako wa maana unamwagikiw ana mvua hivyo
   
 14. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hapo ni starehe au kero ???
   
 15. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  aongee na msure ampe za stimulis !
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hii adhabu na sio starehe tena...
   
 17. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hahah!haha! Nikajua jamaa wanashangalia show dah! Kumbe kero tupu wanavyousifia kumbe tofauti kabisa!! Riz vp ongea na mshua akupe vijichenji uweke hata Turubai2!!!
   
 18. k

  kamau ngilisho Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heeeeeeeeeee! Kumbe Rz1 ndo mhucka mkuu....????!!!
   
 19. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mjini hapa kila kitu kipya ni cha Riz1 duu haya majungu sasa!
   
 20. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Chanzo cha ckakula ni uwe na Jungu... Riz ndiye jungu, Jungu limepakua Dar Live...
   
Loading...