Kuhusu CAG...

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
31,272
31,396
Naomba kufahamishwa yafuatayo juu ya mkaguzi mkuu wa serikali (CAG) na ofisi yake...

1. Mahesabu ya ofisi yake yanatakiwa yakaguliwe na nani?
2. Mpaka sasa mahesabu ya ofisi yake yameshawawahi kukaguliwa?
3. Nijuwavyo CAG anateuliwa na raisi, je raisi akitaka kumuondoa madarakani kwa sababu yoyote ile ni taratibu zipi zinatakiwa zifuatwe?

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom