Pikipiki na Sheria za barabarani

SinaChama

Senior Member
May 1, 2012
109
59
Inashangaza kuona Pikipiki zinaendeshwa kwa uvunjaji mkubwa wa sheria, na maranyingine mbele ya polisi wa barabarani.
 
Inashangaza kuona Pikipiki zinaendeshwa kwa uvunjaji mkubwa wa sheria, na maranyingine mbele ya polisi wa barabarani.

Hujachunguza vizuri.
Madereva wa magari ya serikali ndio wanaoongoza kuvunja sheria za usalama barabarani.Hao waendesha pikipiki tatizo lao hawazijui sheria za usalama barabarani na wengi wao hata leseni hawana.
 
Back
Top Bottom