Kama wiki tatu hivi zilizopita kulikuwa na mabadiliko ya ranks za hapa JF,naona leo zimerudishwa zile za awali,mliolalamika kama mimi baada ya rank ku drop sasa kiroho kwaatu!
Wabongo kwa sifa za kijinga, tupo mbele sana... Hiyo 'RANK' inakusaidia nini?
Una akili za ki-mwanaasha za kusema kuongezeka kwa foleni mjini ni maisha bora...
Wabongo kwa sifa za kijinga, tupo mbele sana... Hiyo 'RANK' inakusaidia nini?
Una akili za ki-mwanaasha za kusema kuongezeka kwa foleni mjini ni maisha bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.